Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Mbona akina Mike Mhagama,Sebastian Maganga,Godwin Gondwe wamekimbiza na kupendwa sana kipindi hicho bila kuongea vingereza uchwara?
Watangazaji wa siku hizi wanakera sana kwa kuigana hadi sauti!
Adam Mchomvu ni mchekeshaji si mtangazaji.
Kila siku na kiingereza kilekile kibovu tu. Vipi wewe? Tumechoka kusikia ''in a house,'' ''you know what it is,'' ''it is what it is'.' ptuuuuuuuuuuu.......Kama lugha haipandi kaka una ruhusa kutumia Kiswahili bwana. Wengine tunahisi kutapika tukisikia Kiingereza kichafu. Aaaaaaarrrrrrgggghhhhhh
Check it out.......check it out....hzi ndo ngoma tunazihappen....this waririz waridu! Brother from another mother....c'mo c'mo....das wasap....das right....ama nini? Mfyuuuuueee......maneno yake hayabadiliki kabisa! Ila watu wa mikoani wanamkubali kinoma! Hahahahaaa....
Kila siku na kiingereza kilekile kibovu tu. Vipi wewe? Tumechoka kusikia ''in a house,'' ''you know what it is,'' ''it is what it is'.' ptuuuuuuuuuuu.......Kama lugha haipandi kaka una ruhusa kutumia Kiswahili bwana. Wengine tunahisi kutapika tukisikia Kiingereza kichafu. Aaaaaaarrrrrrgggghhhhhh
gay in the building broadcast from darajani kawe.
mkoani ndio wapi mkuu? Ww haupo mkoani?
mkoani ndio wapi mkuu? Ww haupo mkoani?
Tofauti na vile unavyofikiria mkuu. Ila unaweza ukawa na jibu ndani yake.
Jamaa kaoa mzungu so anampaga swaga wife wake...kibaya kipi jama??