Adam Mchomvu unaboa bana

Wabongo mnafurahisha, mnaiponda lakini mnaisikiliza. Mnadai hamuisikilizi lakini mnaongoza kujua leo flani katika kipindi flani kasema hivi, leo mjengoni kimejili hiki.
Msipende kutaka flani afanye kama flani, yeye ndiyo njia yake ya utangazaji and I am sure he got lots of fans out there na style yake ndiyo inayo mtofautisha yeye na wengine..
 
habari zenyuuuu bhana.. diz iz wori lap ... Kinyaa tupu
Rubbish.. rubbish indeed.
 

style ya utumbo
 
Nasikia alipigwa ngumi na p funky kama hivi.....


 
Umeona bhana... habari zenyu bhana! Kiukweli anaboa. Mi nikimsikia tu huwa nabadilisha station hadi kipindi chake kiishe.
 
Jaman mlitaka aongee kiingereza sahihi kwan anafanya interview ya ajira pale??,pale ni burudan tena inawagusa vijana sana,angalia watangazaji wa nje pia hawaongei kiingereza sahih na huwa hawaeleweki kwa wackilizaji pia,zile zinaitwa swag ambazo n kama manjonjo tu na sio lazima aongeekitu sahihi,maana huwa anaungaunga huku akitafakar nn cha kusema next
 

huwa mnakuja kupima upepo???


CLOUDS waanza kulegea kwa JIDE: Wapiga wimbo wake

Started by Radhia Sweety, 21st June 2013 07:39



Clouds kumshusha Rick Ross au Nick Minaj.

Started by Radhia Sweety, 17th September 2012 12:08



Zamaradi wa Clouds kashajifungua?

Started by Radhia Sweety, 20th June 2012 11:21



Kibonde afungua baa na stationery

Started by Radhia Sweety, 21st February 2012 15:30



Gerald Hando apendekeza JF ifungiwe

Started by Radhia Sweety, 12th June 2013 09:04





Adam Mchomvu unaboa bana

Started by Radhia Sweety, Yesterday 05:39



Mimi ni mfuasi wa Ruge

Started by Radhia Sweety, Yesterday 06:06

 
Mi sijawah muelewa huyu. Hampendi sugu,anampenda rugay,hampendi kinana ila anaipenda ccm. Anampenda kibonde ila anamchukia mchomvu
 
Wabongo mna mambo....wadosi wakiongea kiswahili kibovu wala hamshtuki.

Haya..na jana miss Brazil kashindwa kusema beauty with purpose.........hebu leteni uzi naye tumsimange.
 
wabongo mna mambo....wadosi wakiongea kiswahili kibovu wala hamshtuki.
Haya..na jana miss brazil kashindwa kusema beauty with purpose
we kweli fyatu! Sasa madam mchovu anaongea kiingereza au? Hajui kiswahl wala englsh
 
Wabongo mna mambo....wadosi wakiongea kiswahili kibovu wala hamshtuki.

Haya..na jana miss Brazil kashindwa kusema beauty with purpose.........hebu leteni uzi naye tumsimange.

wadosi hawajui Kiswahili kwasababu hawakijui. Huyo Mchovu naye? Abas Kabafff
 
hhahaha,kazi ipo leo umeamkia redio ya watu
 
Radhia Sweety clouds wamekufanya nini mamii?
mimi sio mshabiki wao lakini kuwaanzishia threads TATU ndani ya siku mbili,
duh!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…