pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 880
Aisha mzungu?? Unaishi pluto nn
Labda kampata leo. Hata kama kampata,vilevile atakuwa ni volunteer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisha mzungu?? Unaishi pluto nn
wengne wanaoishi hapo tandale hawaamini kama dar ni mkoa!
Wabongo mnafurahisha, mnaiponda lakini mnaisikiliza. Mnadai hamuisikilizi lakini mnaongoza kujua leo flani katika kipindi flani kasema hivi, leo mjengoni kimejili hiki.
Msipende kutaka flani afanye kama flani, yeye ndiyo njia yake ya utangazaji and I am sure he got lots of fans out there na style yake ndiyo inayo mtofautisha yeye na wengine..
mkoani ndio wapi mkuu? Ww haupo mkoani?
so jamaa ni mlibelari?
Kila siku na kiingereza kilekile kibovu tu. Vipi wewe? Tumechoka kusikia ''in a house,'' ''you know what it is,'' ''it is what it is'.' ptuuuuuuuuuuu.......Kama lugha haipandi kaka una ruhusa kutumia Kiswahili bwana. Wengine tunahisi kutapika tukisikia Kiingereza kichafu. Aaaaaaarrrrrrgggghhhhhh
we kweli fyatu! Sasa madam mchovu anaongea kiingereza au? Hajui kiswahl wala englshwabongo mna mambo....wadosi wakiongea kiswahili kibovu wala hamshtuki.
Haya..na jana miss brazil kashindwa kusema beauty with purpose
Wabongo mna mambo....wadosi wakiongea kiswahili kibovu wala hamshtuki.
Haya..na jana miss Brazil kashindwa kusema beauty with purpose.........hebu leteni uzi naye tumsimange.
hhahaha,kazi ipo leo umeamkia redio ya watu
sawa kani nime bishaaa....walaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHii post ipo hapa tangu juzi wewe