Mchawi mwandamizi
Senior Member
- Jan 17, 2020
- 117
- 335
Hakuna namna ya kuniambia kuwa Adam na hawa hawakuwa watanzania.
Picha linaanza, huko bonde la olvai (umasaini) ambapo Dr. Leakey aligundua fuvu la kichwa cha binadamu wa kale zaidi (Kama sio la Adam basi la hawa).
Na tunafundishwa mashuleni kuwa habari kuhusu fuvu hilo ni za kweli. Hivyo basi Arusha ndio Eden yenyewe na Longido itakuwa ndo ilikuwa ikiitwa shinari. Hizi historia zitatuua jamani, hasa sisi tunaopenda kutafakari mambo kabla ya kuyapokea.