Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Hii mada ihamie JUKWAA LA DINI.Kwa mnaojua na evidence wapendwa nimejaribu kuuliza baadhi ya wapendwa na wachungaji kila mtu ana yake nikaonaa nipate ufafanuzi hapa jf nilinganishe na walionijuza...ni kosa gan walifanya leo hii tunakufa???
Adamu na Hawa walikula tunda la mema na mabaya, hawakufanya uzinzi/sex. naongea hivi kwasababu Mungu alikuwa ameshawaruhusu Adam na eva kufanya sex kama mume na mke ili waende wakazaliane. tunda la mti wa mema na mabaya, mti huo upo hadi leo, ukisoma katika kitabu cha ufunuo, ktk Jerusalem mpya kutakuwa na mti wa uzima ambao utatoa matunda hada baada ya ulimwengu huu kupita. shetani analeta uongo kwamba walizini, lakini wangezinije wakati Mungu hakuwakataza kufanya tendo la ndoa? hatuhitaji mjadala wowote hapa kwasababu iko wazi kabisa hata kwa mtu ambaye hajaenda shule...NYINGI NI WAONGO KAMA BABA YENU IBILISI ALIVYO MWONGO, KWASABABU IBILISI NI BABA WA UONGO...