njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Dogo ana bahati ya kupata teams nzuri ila mwisho wake huwa mbaya sijui kwa nini? anyway hivi salamba ana miaka 22 kumbe akiwa simba alikuwa na miaka 18?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mdogo sana huyo wala usidhani kapunguza umri.Kwamba huyu dogo ni U23?
Msuva alipita katika mikono salama sasa hivi anadunda tu uko Arabuni, hawa akina chauma, miksoni na salamba walipita katika timu ambayo bila kuvutishwa bangi mechi haichezwiGundu litamuandama maisha yake yote. Bora kipindi kile angesaini Yanga badala ya Moo fc! Muda huu angekuwa kama Msuva.
Hii ndio sababu lakini sio umri, Salamba bado mdogo.Ubishoo unamponza
nafikiri jamaa Alikuwa anajaribu kuwaza tu kama kweli ana 22 now basi simba aliingia na 18yrs... kwa hiyo kama ndo hivyo lipuli alicheza akiwa under 18 (sijui sheria zinaruhusu kumpa full usajili under 18)???? Ni tunawaza tuBado mdogo sana huyo wala usidhani kapunguza umri.
Msukuma wa shinyanga [emoji1]
Sio angekuwa kama waziri Jr na Nchimbi Mkuu?Gundu litamuandama maisha yake yote. Bora kipindi kile angesaini Yanga badala ya Moo fc! Muda huu angekuwa kama Msuva.
Yeah sheria inaruhusu mchezaji wa miaka 17 kucheza senior team.nafikiri jamaa Alikuwa anajaribu kuwaza tu kama kweli ana 22 now basi simba aliingia na 18yrs... kwa hiyo kama ndo hivyo lipuli alicheza akiwa under 18 (sijui sheria zinaruhusu kumpa full usajili under 18)???? Ni tunawaza tu
Hapana. Angesaini Utopolo angeishia kuwa kama akina Nchimbi, Surpong, etc.Gundu litamuandama maisha yake yote. Bora kipindi kile angesaini Yanga badala ya Moo fc! Muda huu angekuwa kama Msuva.