Adam Salamba apigwa chini na Js Sourra ya Algeria

Adam Salamba apigwa chini na Js Sourra ya Algeria

Hapana Angesaini Utopolo angeisha na kuwa kama akina Nchimbi, Surpong, etc.

Simon Msuva alikuwa ni Mwananchi! Leo hii anakula tu maisha huko Morocco! Bado kunaTuisila Kisinda!

Nchimbi na Waziri Junior ni wachezaji wa timu ndogo, hivyo kamwe hawawezi kung'ara kwenye timu yenye presha kubwa kama Yanga.
 
Kwa hiyo Samata kapita utopoloni?
 
Kwa hiyo Samata kapita utopoloni?

Samatta alitokea Tp Mazembe! Tena ni baada ya mafanikio makubwa aliyo yapata huko.

Ukitaka kuleta hizo siasa za akina Samatta, basi na sisi Yanga tulishawahi kuwa na Nonda Shaban, ambaye baadaye alikuja kusajiliwa na Monaco ya Ufaransa (kama sijakosea), na baadaye kucheza UEFA Championship miaka hiyo!
 
Hivi unafikiria kwa kutumia nini? Mafanikio aliyopata Samatta akiwa Tp Mazembe akitokea Simba huyo Msuva hayo mafanikio hata nusu tu hajayafikia.
Kwa hiyo Samatta wa Tp Mazembe (sio ulaya) aliyetokea Simba ni zaidi na zaidi kuliko huyo Msuva wa Wydad.

Halafu kutajwa Samatta unasema ni siasa kwanini wewe ukimtaja Msuva inakuwa sio siasa? Kigezo gani unatumia?
 
Dogo ana bahati ya kupata teams nzuri ila mwisho wake huwa mbaya sijui kwa nini? anyway hivi salamba ana miaka 22 kumbe akiwa simba alikuwa na miaka 18?

View attachment 2116193
He is still young and can prosper

Ila termination ya contract sometimes in mengi

Vipi huyu dogo tabia zake? Vitu kama.ulevi, ubishi na masuala ya jinsia?
 
Msuva alipita katika mikono salama sasa hivi anadunda tu uko Arabuni, hawa akina chauma, miksoni na salamba walipita katika timu ambayo bila kuvutishwa bangi mechi haichezwi
Samatta is our biggest 💎

Alipita Simba
 
23 year? wachezaji wa Kibongo huwa umri unarudi nyuma miaka inapoongezeka
 
Kweli aisee. Hata pale Namungo alikuwa anaishia kukaa benchi. Pengine amebahatika kupata wakala mjanja mjanja.
KwA kweli hapa waarabu wamenishangaza sana....alipigane screening zote za hawa watu? Maana kwanza tuu unauliza hapo simba alikuwa regular? Jibu hapana ukiuliza namungo jibu hapana. Mbona simple tuu kuna kitu kinaitwa triangulation katika recruitment sijui waarabu walipigwa ndumba
 
Back
Top Bottom