Adam Salamba apigwa chini na Js Sourra ya Algeria

Gundu litamuandama maisha yake yote. Bora kipindi kile angesaini Yanga badala ya Moo fc! Muda huu angekuwa kama Msuva.
Msuva alipita katika mikono salama sasa hivi anadunda tu uko Arabuni, hawa akina chauma, miksoni na salamba walipita katika timu ambayo bila kuvutishwa bangi mechi haichezwi
 
Hivi huyu mchezaji ana strength zipi? Mana mi siini kikubwa alichonacho kwenye soka
 
Bado mdogo sana huyo wala usidhani kapunguza umri.
Msukuma wa shinyanga [emoji1]
nafikiri jamaa Alikuwa anajaribu kuwaza tu kama kweli ana 22 now basi simba aliingia na 18yrs... kwa hiyo kama ndo hivyo lipuli alicheza akiwa under 18 (sijui sheria zinaruhusu kumpa full usajili under 18)???? Ni tunawaza tu
 
Yeah sheria inaruhusu mchezaji wa miaka 17 kucheza senior team.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…