Hapana Angesaini Utopolo angeisha na kuwa kama akina Nchimbi, Surpong, etc.
Umenifanya nirudi kuangalia picha tena.Amekaa kama anapakatwa hivi..
Kwa hiyo Samata kapita utopoloni?Simon Msuva alikuwa ni Mwananchi! Leo hii anakula tu maisha huko Morocco! Bado kunaTuisila Kisinda!
Nchimbi na Waziri Junior ni wachezaji wa timu ndogo, hivyo kamwe hawawezi kung'ara kwenye timu yenye presha kubwa kama Yanga.
Kwa hiyo Samata kapita utopoloni?
Hivi unafikiria kwa kutumia nini? Mafanikio aliyopata Samatta akiwa Tp Mazembe akitokea Simba huyo Msuva hayo mafanikio hata nusu tu hajayafikia.Samatta alitokea Tp Mazembe! Tena ni baada ya mafanikio makubwa aliyo yapata huko.
Ukitaka kuleta hizo siasa za akina Samatta, basi na sisi Yanga tulishawahi kuwa na Nonda Shaban, ambaye baadaye alikuja kusajiliwa na Monaco ya Ufaransa (kama sijakosea), na baadaye kucheza UEFA Championship miaka hiyo!
He is still young and can prosperDogo ana bahati ya kupata teams nzuri ila mwisho wake huwa mbaya sijui kwa nini? anyway hivi salamba ana miaka 22 kumbe akiwa simba alikuwa na miaka 18?
View attachment 2116193
Samatta is our biggest 💎Msuva alipita katika mikono salama sasa hivi anadunda tu uko Arabuni, hawa akina chauma, miksoni na salamba walipita katika timu ambayo bila kuvutishwa bangi mechi haichezwi
Tp Mazembe to Genk then Aston VillaSamatta is our biggest 💎
Alipita Simba
Kweli aisee. Hata pale Namungo alikuwa anaishia kukaa benchi. Pengine amebahatika kupata wakala mjanja mjanja.Mimi nilishangaa walivyomchukua. Waliangalia nini?
KwA kweli hapa waarabu wamenishangaza sana....alipigane screening zote za hawa watu? Maana kwanza tuu unauliza hapo simba alikuwa regular? Jibu hapana ukiuliza namungo jibu hapana. Mbona simple tuu kuna kitu kinaitwa triangulation katika recruitment sijui waarabu walipigwa ndumbaKweli aisee. Hata pale Namungo alikuwa anaishia kukaa benchi. Pengine amebahatika kupata wakala mjanja mjanja.