"Adamoo" ni kama ilivyokuwa kwa Rambo na "First Blood"

Kama kuna kada ya watu wachafu wa nafsi na wafitini ,waonevu wenye roho mbaya kupitiliza basi namba moja ni "mandata" ,"njagu","mamwela"."wafugabata"

Wakifuatiwa na wanasiasa

Aliwasoma, akawaelewa:



Apumzike kwa amani Kasongo Hamza.
 
Kama vipi na yeye akipata nafasi alianzishe tu. Ameweza Hamza, halafu ashindwe mtu mwenye CV kubwa ya mapambano kama yake!!
hiki ndicho wanachokitafuta kwa bidii polisi wanaotumika bila kufuata mwongozo wa kazi zao na haki. Je hawajifunzi kwa Abdallah "Zombi" ambaye leo hii akitembea anaongea peke yake???
 
Hii kesi inayoendelea inatuonesha kuwa adui namba moja wa haki za raia nchi hii ni nani!! Kesi hii inaonesha ni nani ambao ni maadui wa taifa... Kesi hii inaonesha wale maiti wa coco kwenye viroba nani wahusika... Kesi hii inavumbua lile fumbo la WASIOJULIKANA NA WATEKAJI NI KINA NANI.
DPP ameamua kuwaanika au kwa kifupi AMECHANA SANA MAITI ANAADHIRIKA SASA...
 

Ni wazi sasa kuwa wasiojulikana wako chini ya Sirro
 
Utetezi wa leo nimejifunza umuhimu wa kumfahamu mwenza wako kwenye vitu mbali mbali, mfano mawasiliano afanyayo sio yote, shughuli anazo zifanya, marafiki zake ata baadhi, kumjulia mwenzio hali asubuhi/mchana na hata jioni (waeza enda lala ukijua anarudi kumbe mwenzio ashakwama mahali), majina ya utani ayatumiayooo

Malizia na kale kawimboo ... YAhaya unaishi wapiii ......hahaaa
etc
 
Tangu wamtundike lwajaba mtini eti kajinyonga na kutuonyesha cctv feki ya gari la watekaji weledi hapa ulileta shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…