ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wamepangishwa miaka 30.Wamepangishwa au wameuziwa ila kwa mengi zaidi tutasikia kwenye maria space guest akiwa ni dkt slaa!
Unaelewa maana ya "has proposed"?My Take
Ingekuwa ni Lebanon Watu wangesema Mali zao Zinauzwa 😂😂
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1816345140870467864?t=RvyhphFNJ6RI2o3hj2wagg&s=19
Kwani hilo ni tatizo kodi ya pango ikiwa inalipwa!Wamepangishwa miaka 30.
Inafuata acceptance/rejection halafu ikikubalika inafata promise then negotiation halafu contractUnaelewa maana ya "has proposed"?
Hao ADANI Airport zao za India zenyewe hazina tofauti na Jomo Kenyatta sasa sijui wataleta nini kipya?Kwani hilo ni tatizo kodi ya pango ikiwa inalipwa!
PrivatizationGlobalisation
Imeenda hiyo Mzee 🤪🤪Unajua maana ya 'proposed'?
Hakuna uhakika kwamba watanunua, wametoa ombi.
Hawajauziwa....My Take
Ingekuwa niNchi ya Lebanon Watu wangesema Rais ameuza Mali zao 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1816345140870467864?t=RvyhphFNJ6RI2o3hj2wagg&s=19
New WORLD orderNaona tumeshindwa kila kitu Waafrika na kuamua kukodi au kuuza kila kitu
Nchi zingine wamepiga mnada kabisa kwa Wachina