Adani Airports Holdings ya India yaomba kuwekeza uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kwa miaka 30

Adani Airports Holdings ya India yaomba kuwekeza uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kwa miaka 30

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
India’s Adani Airport Holdings Limited has proposed to invest $1.85 billion (Sh246 billion) to expand Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) under a concession deal that, if accepted, could earn it an 18 percent annual return over three decades.

Screenshot 2024-07-25 145238.png


===

My Take
Ingekuwa ni nchi ya Lebanon watu wangesema Rais ameuza Mali zao 😂😂👇👇

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1817794690952954273?t=TAhesogjvOzHwt7ATaHsvA&s=19
 
Wale waliochukua bandari ya dar ,eneleo walilokuwa wamewekeza TICTs wanaitwa nani? Naomba mnikumbushe
 
Hivi wenzetu wa mabara mengine nao wanawapangisha Waafrika mali zao? Au tulikuwa wabichi sana kudai uhuru?? Inashangaza sana.
 
Back
Top Bottom