Addicted with majimama

mkuu,ndio maana nkaamua kuleta hii thread hapa bcoz as time goes on,nahc kama najish2kia flani hvi,yani it's like najiona niko too much kwa hawa wa2 wa aina hii,inafikia time nakua cjifill chochote ninapokutana na wasichana ambao wa rika langu,ndo maana naona kama niko addicted mkuu.
 
yeah,naweza kusema nina mpz zaidi ya m1 mkuu bt siwez kuwaita wapenzi,mayb cc vijana wa kileo 2naweza kuwaita vipoozeo,by the way kuhusu masomo,naendelea vzr 2 so haijaniaffect kwa namna yoyote ile..
 
Senetor sasa uaendelea hivo mpaka lini?nakuona bado mdogo sana uwe makini tu usije ukapata stress kubwa zaidi na kuharibu future yako
nimekuelewa mkuu,asante kwa ushauri.
 
dah!mkuu,hata mazingra ninayokutanaga na hawa wa2 wangu,cdhani ka wanaweza kuwa wake za wa2,afu bahati mbaya cnaga tabia ya kumdadic m2 ili kumjua so nashndwa kuelewa huwa ni wake za wa2 or vp!
 
mkuu,labda k2 ambacho cjakieleza ni kwamba,haya mambo nafanyaga nkiwa huku chuon 2,bt pindi nirudipo mkoani{nyumban}huwa cjihusish na aina yoyote ya mapenz,so hata my homers+wana jamii wote wanao nzunguka wananiona mstaarabu flani hivi bt siri ya maisha yangu naijua mwenyewe.
 

Napata picha huko kijijini wanavyokusifia kwa kuwa kijana mtuli na mwenye nidhamu.........................huku kila mmoja mwenye mabinti akipigania angalao uje kupeleka posa kwenye mji wake...................

Yaani hapo ndio kwaheri.........................hutakaa uridhike tena na mabinti wa rika lako(hii ni athari ya kisaikolojia)...................

Yaani wakati unafuzu first degree ya hapo chuoni.......................utakuwa pia umefuzu vizuri sana kwenye first degree ya kubebe majimama

Fikiria upya..........................mbona ukiwa kijijini unaweza kukaa bila ngono?.........................hujaamua tu wewe..................hata huko chuoni utaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…