kama alivyosema afrodenzi,fanya kile roho yako inapenda,ila play safe.inaonyesha hutaki kuji commit katika relationship.kwako wewe unataka one night stand huku maisha yanaendelea.uzuri wa majimama:na wao wanapenda kumalizwa haja zao,kuna kuolewa hapo au kuhongwa kwa wingi,no stress,no introduction kwa ndugu na jamaa.ubaya wa majimama:maybe wengine ni wake za watu,au wamefiwa na waume zao{hujui wamefariki na nini}unaweza ukawindwa na waume zao na wakakufanya lolote lile.kwa upande mwengine wewe ni kijana mdogo kujiingiza na mambo hayo