Pombe 🍺
Tumeshaona dawa kibao zikitangazwa za kuachisha mtu ulevi. Wengine wakitumia wanatapika, wanachukia pombe kwa muda, lakini wakirudi kwenye hali zao za kawaida kiu ikibana na hamu ikirudi wanarudi kule kule.
Internet & Smartphones 📱
Watu hawataki kupitwa. Wapo tayari kununua bando la elfu 3 kila siku ili wawe online. Notification moja inaweza kukufanya ushike simu bila hata kuwa na sababu maalum.
Bangi 🌿
Nayo ina dawa nyingi zinazotangazwa mtaani za kumsaidia mtu kuacha, lakini hamu hurudi tena na tena.
Chakula kupitiliza🍔
Hii ni addiction ambayo mara nyingi haionekani kama addiction. Mtu anaweza kujua kabisa kwamba anakula kupita kiasi, anaweza kuamua kupunguza, lakini akawa anarudi kwenye vyakula fulani tena na tena
Masturbation 🔥
Jitihada za kupunguza hii aaddiction zimevurugwa sana na ujio wa smarphones, kwa mtu ambaye tayari ana struggle na tabia hii, smartphone inaweza kumwagilia petrol kwenye moto.
Sex ❤️🔥
Kuna watu ambao wanahisi hawawezi kuvusha siku bila kufanya tendo la ngono. Kwa wengine, tabia hiyo inaweza kuwa imepitiliz kiasi kwamba hawaoni taabu kuazna kutongoza wake za watu na kununua malaya.
Sigara 🚬
Watu wengi wanajua kabisa madhara ya sigara, lakini bado wanaendelea kuvuta. Mtu anaweza kuamua kuacha leo, kesho akajikuta anatafuta sigara tena. Mwili na akili vinapozoea nicotine, kuacha kunaweza kuwa changamoto kubwa.
Gaming 🎮
Mchezo unaanza kama burudani, lakini kwa baadhi ya watu unageuka kuwa kitu kinachotawala muda wao. Saa moja inakuwa tatu, tatu zinakuwa usiku kucha na majukumu yanaanza kusubiri.
Mirungi 🌿
Kwa baadhi ya watumiaji, mirungi inaweza kugeuka kutoka kuwa matumizi ya kawaida kwenda kwenye utegemezi. Mtu anaweza kuanza kwa kutumia mara chache, lakini baadaye akahisi hawezi kufanya kazi au kuwa sawa bila kuitumia.
Cocaine ❄️
Hii ni moja ya dawa zinazoweza kusababisha utegemezi mkubwa. Mtu anaweza kuanza kwa “kujaribu tu,” lakini hamu ya kuitumia tena inaweza kuwa kubwa na kuathiri afya, fedha, mahusiano na maisha kwa ujumla