Adding FTA channels AzamTV

Adding FTA channels AzamTV

dr samg

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2012
Posts
292
Reaction score
163
Wadau kuna yeyote anaweza tupa maujanja hasa frequency ambazo zitatupa FTA channels frm satellite kwenye AzamTV
 
Ukikubali kuolewa au kuoa sharti u........................!
 
This is hw its done
 
Attachments

  • 1392091906416.jpg
    1392091906416.jpg
    30.2 KB · Views: 4,918
ka kampuni ka watu ndio kwanza kanaanza kazi!! watu mmeshawaza kuiba!!
 
Ingizeni
12728 H 30000
11192 H 3210
12645 H 30000
Hapo pana channel 13 including all 6 channels from Muvi tv zambia (combo, muviz, muvi tv, africa unite, nyimbo na prism africa) + others frm west africa na india. Cha msingi add new satellite then weka hizo freq, search nd enjoy
 
This is hw its done

Hiyo lnb ya juu ipo position gani mkuu na frequency yake na ile ya chini pia frequency na positionyake.
tunataka tujaribu nyumbani kuona tunapata vip hizo channel. tunaomba utuwekee hapa mkuu tunasubiri
 
Hizo freq ni za eutelsat east 7a, ambayo azam channels zipo so no need kuongeza lnb
 
Ingizeni
12728 H 30000
11192 H 3210
12645 H 30000
Hapo pana channel 13 including all 6 channels from Muvi tv zambia (combo, muviz, muvi tv, africa unite, nyimbo na prism africa) + others frm west africa na india. Cha msingi add new satellite then weka hizo freq, search nd enjoy

Mkuu nielekeze jnc ya kuad newsatelite
 
Unaweza kufunga ku 2 ktk dish la azam. Ya chini utatega amos5 nyuzi17 ambapo utashika continental na chanel zingine zaidi ya 100,na ku ya juu funga azam. Nyuzi 7.
Zaidi pm nitakuelekeza zaidi
 
pia unaweza kufunga ku 2 ktk azam na ukapata satellite 4 kwa mpigo, ku 1 utapata amos5 na 16e na ku ingine utapata azam na zuku
 
Ingizeni
12728 H 30000
11192 H 3210
12645 H 30000
Hapo pana channel 13 including all 6 channels from Muvi tv zambia (combo, muviz, muvi tv, africa unite, nyimbo na prism africa) + others frm west africa na india. Cha msingi add new satellite then weka hizo freq, search nd enjoy
Na add setilite ipi?..ileile Azam anakamatia?
 
Back
Top Bottom