Yupo mwafula ajenga kizimkazi pekeenI hapo kati ya Jiji na vitongoji vichache tu
ukienda pembezoni kidogo kuna ufukara wa kutupwa
PM wa sasa Abiy Ahmed anajitahidi lakini bado anakumbana na siasa za ukabila wa Amhara ambao kiasili ndio wakazi wa Addis, Oromo, Tigriya na na makabila ya wasomali na mengineyo madogo
Anapigwa vita sana na kabila lake Oromo waaliomuingiza madarakani kwa kupinga hiyo Master Plan ya Addis kuwa anaijali zaidi Addis wakati kwao Oromia hapajajengwa na walitaka kujitenga ila ameamua kukomaa kujenga taifa moja na wa Tigriya nao walitaka kujitenga na kurudi kwao Eritrea
Moja ya nchi maskini sana Afrika licha ya utajiri wa madini kwa sababu ya siasa mbovu kuanzia enzi za Haille Selassie, mpaka Haile Mariam na utawala wa kijeshi na ilikumbwa na ukame mkubwa wa chakula mpaka wanamuziki wa US na UK kina Bob Geldof wakaimba kuichangia fedha za kununua chakula cha msaadaNchi haina hata bandari lakini ina maendeleo makubwa, pongezi kwao
Kuna uwekezaji mkubwa sana Ethiopia sasahivi. Umasikini utapungua in futurenI hapo kati ya Jiji na vitongoji vichache tu
ukienda pembezoni kidogo kuna ufukara wa kutupwa
PM wa sasa Abiy Ahmed anajitahidi lakini bado anakumbana na siasa za ukabila wa Amhara ambao kiasili ndio wakazi wa Addis, Oromo, Tigriya na na makabila ya wasomali na mengineyo madogo
Anapigwa vita sana na kabila lake Oromo waaliomuingiza madarakani kwa kupinga hiyo Master Plan ya Addis kuwa anaijali zaidi Addis wakati kwao Oromia hapajajengwa na walitaka kujitenga ila ameamua kukomaa kujenga taifa moja na wa Tigriya nao walitaka kujitenga au kurudi kwao Eritrea
Moja ya mambo ambayo huwa yananishangaza pakubwa kuhusu Afrika ni hili la Ethiopia kutafunwa na ukabila mpaka leo hii.nI hapo kati ya Jiji na vitongoji vichache tu
ukienda pembezoni kidogo kuna ufukara wa kutupwa
PM wa sasa Abiy Ahmed anajitahidi lakini bado anakumbana na siasa za ukabila wa Amhara ambao kiasili ndio wakazi wa Addis, Oromo, Tigriya na na makabila ya wasomali na mengineyo madogo
Anapigwa vita sana na kabila lake Oromo waaliomuingiza madarakani kwa kupinga hiyo Master Plan ya Addis kuwa anaijali zaidi Addis wakati kwao Oromia hapajajengwa na walitaka kujitenga ila ameamua kukomaa kujenga taifa moja na wa Tigriya nao walitaka kujitenga au kurudi kwao Eritrea
Hivyo ndio vitu vinaitwa superficial, maendeleo ya vitu sio watuKuna uwekezaji mkubwa sana Ethiopia sasahivi. Umasikini utapungua in future
Hakuna taifa lisilo na changamoto lakini maendeleo ya Addis Ababa yana inspire sana
Inchi ambayo watu wana enjoy sana maisha na maisha rahisi kwa hapa Africa ni ipi?Hivyo ndio vitu vinaitwa superficial, maendeleo ya vitu sio watu
bado kipato cha mtu mmoja ni cha chini sana ukiachia matajiri wachache wenye tenda za serikalini na wenye viwanda wengi ni wageni hasa wa China , wahindi na waarabu na wanalipa pesa kidogo sana
Hakuna free market economy na mpaka pesa kama dola una change kwenye black market, enzi za Tz ya kijamaa miaka ya 80 na 90 mwanzoni
Asili ya migogoro ya kikabila kwa nchi kama Ethiopia na Nigeria ni zile tawala za kifalme za zamaniMoja ya mambo ambayo huwa yananishangaza pakubwa kuhusu Afrika ni hili la Ethiopia kutafunwa na ukabila mpaka leo hii.
Mara nyingi ukichunguza mataifa mengi ya kiafrika yanayosumbuliwa na ukabila utakuta mzizi wa tatizo umetokana na utawala wa kikoloni.
Sasa hawa wahabeshi hawakuwahi hata kuishi chini ya sera zozote za kikoloni ambazo zilikuwa katika misingi ya kuzigawa jamii ya kiafrika, lakini cha ajabu hawana kabisa umoja na wanachukiana sana, sijui huwa shida ni nini.
Mauritius na Seychelles ni dunia ya kipekee kwa afrika zikifuatiwa kidogo na Botswana , Namibia, Morocco na South Afrika kwa mbali hata kama maisha siyo rahisi sana lakini uchumi na quality of life ipo juuInchi ambayo watu wana enjoy sana maisha na maisha rahisi kwa hapa Africa ni ipi?
Bora hata hao wamewekeza kwenye vitu, GDP itakuwa na kufanya iwe rahisi kuwekeza kwenye watu maana hela zipoHivyo ndio vitu vinaitwa superficial, maendeleo ya vitu sio watu
bado kipato cha mtu mmoja ni cha chini sana ukiachia matajiri wachache wenye tenda za serikalini na wenye viwanda wengi ni wageni hasa wa China , wahindi na waarabu na wanalipa pesa kidogo sana
Hakuna free market economy na mpaka pesa kama dola una change kwenye black market, enzi za Tz ya kijamaa miaka ya 80 na 90 mwanzoni
Hiyo mifano haiendaniAddis Ababa ni ile tulipokuwa wadogo tunaiita familia ya kishua kisa ina nyumba kubwa yenye garden nje na parking lot ina magari mawili matatu ila cha ajabu watoto wa ile familia wanalala njaa hadi wanakuja kwetu kudowea chakula, wanavaa nguo zimechanika na wazazi wao wanapigana humo ndani kila siku.
wananchi wanataka ajira, huduma za kijamii kama elimu bora na affordable, huduma za afyaBora hata hao wamewekeza kwenye vitu, GDP itakuwa na kufanya iwe rahisi kuwekeza kwenye watu maana hela zipo
Kuliko sisi hatueleweki tumewekeza kwenye vitu au watu. Kote tunaboronga tu
I don't know what to say, maybe you are rightwananchi wanataka ajira, huduma za kijamii kama elimu bora na affordable, huduma za afya
wakipata ajira na mzunguko wa fedha ukiongezeka kutokana na biashara watakuwa na makazi bora na hata kuweza kutumia hiyo miundo mbinu km treni za umeme, ndege na barabara za kisasa za kulipia kuwahi kufanya shughuli za kiuchumi
Tatizo kwa nchi kama Ethiopia, ajira hakuna, ukiipata mshahara kiduchu, mzunguko wa fedha mdogo sana , biashara zimeshikwa na ma don na wageni mwisho wa siku hata treni za mjini hawapandi wanatembea sana ila hali ya hewa inasaidia tu
Ukiwawezesha wananchi hata hiyo miundo mbinu watajenga wenyewe kwa PPP
Yes, Addis Ababa is the Capital of Afrika, still a nice place to visit, live and work as an expat, nice and cool weather, beautiful ladies and wide variety of Afrikan cuisine/foodI don't know what to say, maybe you are right
But I love Addis Ababa, the skyline is something else. Natamani na hapa kwetu kungekuwa na mji unaokua kwa kasi kama Addis Ababa