Addis Ababa itakuja kuwa kama Dubai miaka 20 ijayo, sio kwa ujenzi huu aisee

Addis Ababa itakuja kuwa kama Dubai miaka 20 ijayo, sio kwa ujenzi huu aisee

Mauritius na Seychelles ni dunia ya kipekee kwa afrika zikifuatiwa kidogo na Botswana , Namibia, Morocco na South Afrika kwa mbali hata kama maisha siyo rahisi sana lakini uchumi na quality of life ipo juu
Kwahiyo Morocco wana good life kuliko misiri vipi kuhusu Angola ndugu nasikia wana maisha mazuri kama ulaya au uzushi tu?
 
Morocco wanaizidi hata baadhi ya nchi za Ulaya
Wazungu walikaa huko tangu zamani sana kwenye miji kama Marrakech na imejengwa mno na vile iko karibu na Spain huwa wanajiona kama wazungu
Egypt ukiitoa Alexandria na miji ya pwani huku Cairo ni changanyikeni kama Lagos
Sina uhakika kuhusu Luanda , umejengeka sana ila kuna kipindi ulikuwa the most expensive city kuishi ikifiatiwa na Hong Kong na Tokyo
 
wananchi wanataka ajira, huduma za kijamii kama elimu bora na affordable, huduma za afya
wakipata ajira na mzunguko wa fedha ukiongezeka kutokana na biashara watakuwa na makazi bora na hata kuweza kutumia hiyo miundo mbinu km treni za umeme, ndege na barabara za kisasa za kulipia kuwahi kufanya shughuli za kiuchumi
Tatizo kwa nchi kama Ethiopia, ajira hakuna, ukiipata mshahara kiduchu, mzunguko wa fedha mdogo sana , biashara zimeshikwa na ma don na wageni mwisho wa siku hata treni za mjini hawapandi wanatembea sana ila hali ya hewa inasaidia tu
Ukiwawezesha wananchi hata hiyo miundo mbinu watajenga wenyewe kwa PPP
Sahihi wananchi wa Ethiopia wapo katika umasikini mkubwa Sana
 
Sahihi wananchi wa Ethiopia wapo katika umasikini mkubwa Sana
Hata Watanzania wapo katika umasikini mkubwa sana
Ethiopia ilikuwa katika utawala mbovu for years, sasahivi nchi yao imeanza kufunguka kiuchumi, kwa hiyo acha sisi tuendelee kupiga domo kwamba ni masikini, wao wanaendelea kupiga kazi
Sio dhambi kuwa na wananchi masikini ikiwa mnaonesha effort za kuimprove maisha ya watu. Nyinyi kwenye nchi za watu mnaangalia negative side tu, Ethiopia itakuja kutajirika mbele ya macho yetu, huku sisi tunaendelea kuwabeza kuwa ni masikini. As if Watanzania ni matajiri
 
Hata Watanzania wapo katika umasikini mkubwa sana

Maendeleo ya VITU ni ujinga badala uwekeze katika ustawi wa watu kwanza then ndo uamie katika VITU wewe unajeng Viwanja vya ndege huku wananchi wanakufa kwa njaa


Mimi nimeshuhudia Wa Ethiopia wengi wakiikimbia nchi yao


Tanzania hapa hauwezi kufananisha na wananchi wa Ethiopia .
 
Moja ya nchi maskini sana Afrika licha ya utajiri wa madini kwa sababu ya siasa mbovu kuanzia enzi za Haille Selassie, mpaka Haile Mariam na utawala wa kijeshi na ilikumbwa na ukame mkubwa wa chakula mpaka wanamuziki wa US na UK kina Bob Geldof wakaimba kuichangia fedha za kununua chakula cha msaada
Raia wake na wa Eritrea ndio wanaongoza kuikimbia nchi yao Afrika
Ni nchi ya pili au ya tatu kwa idadi ya watu Afrika
Tanzania wahamiaji wengi haramu wanatoka huko wakikimbia nchi yao
Ndugu zako wamejazana South wanapiga umachinga,waliobaki wanapigwa vumbi tandale hawajui kesho watakula nini,acha kuongea shit wakati mko hoi kuliko
 
Maendeleo ya VITU ni ujinga badala uwekeze katika ustawi wa watu kwanza then ndo uamie katika VITU wewe unajeng Viwanja vya ndege huku wananchi wanakufa kwa njaa


Mimi nimeshuhudia Wa Ethiopia wengi wakiikimbia nchi yao


Tanzania hapa hauwezi kufananisha na wananchi wa Ethiopia .
Wote mko hoi hakuna wa kumcheka mwenzake,bora wao wana magorofa na umeme wa kutosha
 
Maendeleo ya VITU ni ujinga badala uwekeze katika ustawi wa watu kwanza then ndo uamie katika VITU wewe unajeng Viwanja vya ndege huku wananchi wanakufa kwa njaa


Mimi nimeshuhudia Wa Ethiopia wengi wakiikimbia nchi yao


Tanzania hapa hauwezi kufananisha na wananchi wa Ethiopia .
Ethiopia wanakimbia nchi kutokana na mambo mengi, wana migogoro ya wenyewe kwa wenyewe
Pia nikuulize swali, serikali itasaidia vipi watu milioni 100+ bila hela?
Sasahivi Ethiopia wanajenga barabara nyingi, makazi bora, miundombinu ya maji, umeme, mahospitali, viwanda, vyuo vikuu, pia Ethiopia ime attract investors wengi kuliko sisi. Hayo maghorofa yanavyoongezeka kwenye miji yao ndio ujue makampuni yanaongezeka hivyo
Hii inaongeza ajira kwa wananchi, fursa za kujiajiri nk. Halafu nchi yao imeanza kukua kwa kasi juzi juzi tu na leo tayari ina maendeleo makubwa, Ethiopia gets better everyday
Ethiopia wanafanya nchi yao kuwa na uchumi wa viwanda na makampuni mengi, kitu ambacho kila nchi iliyoendelea duniani inafanya.
Huenda sasahivi Tanzania umasikini ni mdogo kuliko Ethiopia lakini Ethiopia imeamka
At least wao inaonekana wana future nzuri, sisi hatuna future nzuri. In fact nchi yetu ipo kwenye hali mbaya linapokuja suala la maendeleo especially hii miaka 5 ya mwisho
 
Ethiopia wanakimbia nchi kutokana na mambo mengi, wana migogoro ya wenyewe kwa wenyewe
Pia nikuulize swali, serikali itasaidia vipi watu milioni 100+ bila hela?
Sasahivi Ethiopia wanajenga barabara nyingi, makazi bora, miundombinu ya maji, viwanda, pia Ethiopia ime attract investors wengi kuliko sisi. Hayo maghorofa yanavyoongezeka kwenye miji yao ndio ujue makampuni yanaongezeka hivyo
Hii inaongeza ajira kwa wananchi, fursa za kujiajiri nk. Halafu nchi yao imeanza kukua kwa kasi juzi juzi tu na leo tayari ina maendeleo makubwa
Ethiopia wanafanya nchi yao kuwa na uchumi wa viwanda na makampuni mengi, kitu ambacho kila nchi iliyoendelea duniani inafanya.
Huenda sasahivi Tanzania umasikini ni mdogo kuliko Ethiopia lakini Ethiopia imeamka
At least wao inaonekana wana future nzuri, sisi hatuna future nzuri. In fact nchi yetu ipo kwenye hali mbaya linapokuja suala la maendeleo especially hii miaka 5 ya mwisho

Waafrica mmebarikiwa akili ndogo Sana .

Ethiopia ni nchi ya watu wajinga unajenga VITU bdala ya kuwekeza kusaidia wananchi kiuchumi

hiyo sio nchi ni Takataka Kama ilivyo Kenya hizi sio nchi ni takataka

Upumbavu Kama huu ushapitwa na wakati .

Wananchi wako wanaishi maisha magumu mpaka wnaikimbia nchi kwa njaa wewe unajisifu kujenga Na Kununua ndege
 
Hiyo nchi wananchi wake wananuka umaskini.
Embu sogelea mpakani na kenya Ethiopian ukaone vijana wa kule wakija kenya kufanya kazi za kibarua.

Majengo sio msaada kama ujaweza kusaidia wananchi wako kufikia kuona raha ya nchi yao.
 
The Ethiopian guy is doing great job ..I like him...he loves his country ..and he has exposure ..well educated ..
 
Sisi toka watuulie Magufuri wetu tumefulia ile mbaya

Hatuna kipya tena kinachofanyika ndani ya taifa letu ni ufisadi na uuzaji wa rasilimali za taifa na hali ngumu kwa vijana na mbaya zaidi mauaji
Nasikia wanauza na KIA kwa waoman mbogamboga wanachekacheka tu yaani lango la Taifa wanauziwa wageni
 
Ethiopia ndio nchi ambayo haikuwahi kutawaliwa kikamilifu na wakoloni au kua chini ya ukoloni,

Ethiopia was never fully colonized like most of Africa,
Making it unique as Africa's only nation to avoid prolonged colonial rule.
 
Wewe unajisifu kujenga Na Kununua ndege
Hivi we jamaa unaelewa ninachokuambia? Naona umekazana kununua ndege tu
1. Viwanda
2. Makazi ya gharama nafuu
3. Hospitali
4. Shule
5. Barabara
6. Kilimo
7. Usafirishaji
8. Umeme
9. Makampuni
Niambie kuimprove hivi vitu kumeongeza ajira kiasi gani? Hivi wewe unadhani wakazi wa Ethiopia hawanufaiki na hii miradi?
Hivi unajua kiwanda kimoja kinaweza kutoa ajira 1000+ na indirect jobs 50,000 hadi laki 1? Inapunguza dependency ya vitu kutoka nje na watu wanaweza kujiajiri kupitia bidhaa za viwanda hivyo, makampuni ya usafirishaji nk
Ipo siku karibia kila kitu kitakuwa manufactured Ethiopia na kuuzwa kwetu sisi tuliozubaa, serikali yao itakuwa na hela nyingi bila mikopo mikubwa na itaweza kuimprove maisha ya wananchi wake.
Nikuulize tu, Tanzania sisi tuna improve nini? Vitu au watu?
 
Hiyo nchi wananchi wake wananuka umaskini.
Embu sogelea mpakani na kenya Ethiopian ukaone vijana wa kule wakija kenya kufanya kazi za kibarua.

Majengo sio msaada kama ujaweza kusaidia wananchi wako kufikia kuona raha ya nchi yao.
Nyie mna nini, hata maji ya kuoga hamna, mko hoi kuliko wao
 
Hivi we jamaa unaelewa ninachokuambia? Naona umekazana kununua ndege tu
1. Viwanda
2. Makazi ya gharama nafuu
3. Hospitali
4. Shule
5. Barabara
6. Kilimo
7. Usafirishaji
8. Umeme
9. Makampuni
Niambie kuimprove hivi vitu kumeongeza ajira kiasi gani? Hivi wewe unadhani wakazi wa Ethiopia hawanufaiki na hii miradi?
Hivi unajua kiwanda kimoja kinaweza kutoa ajira 1000+ na indirect jobs 50,000 hadi laki 1? Inapunguza dependency ya vitu kutoka nje na watu wanaweza kujiajiri kupitia bidhaa za viwanda hivyo, makampuni ya usafirishaji nk
Ipo siku karibia kila kitu kitakuwa manufactured Ethiopia na kuuzwa kwetu sisi tuliozubaa, serikali yao itakuwa na hela nyingi bila mikopo mikubwa na itaweza kuimprove maisha ya wananchi wake.
Nikuulize tu, Tanzania sisi tuna improve nini? Vitu au watu?

We mjinga hauna unachoelewa ktk uchumi

Siwezi kuendelea kujadili na wewe
 
Back
Top Bottom