Kwahiyo Morocco wana good life kuliko misiri vipi kuhusu Angola ndugu nasikia wana maisha mazuri kama ulaya au uzushi tu?Mauritius na Seychelles ni dunia ya kipekee kwa afrika zikifuatiwa kidogo na Botswana , Namibia, Morocco na South Afrika kwa mbali hata kama maisha siyo rahisi sana lakini uchumi na quality of life ipo juu
Sahihi wananchi wa Ethiopia wapo katika umasikini mkubwa Sanawananchi wanataka ajira, huduma za kijamii kama elimu bora na affordable, huduma za afya
wakipata ajira na mzunguko wa fedha ukiongezeka kutokana na biashara watakuwa na makazi bora na hata kuweza kutumia hiyo miundo mbinu km treni za umeme, ndege na barabara za kisasa za kulipia kuwahi kufanya shughuli za kiuchumi
Tatizo kwa nchi kama Ethiopia, ajira hakuna, ukiipata mshahara kiduchu, mzunguko wa fedha mdogo sana , biashara zimeshikwa na ma don na wageni mwisho wa siku hata treni za mjini hawapandi wanatembea sana ila hali ya hewa inasaidia tu
Ukiwawezesha wananchi hata hiyo miundo mbinu watajenga wenyewe kwa PPP
Hata Watanzania wapo katika umasikini mkubwa sanaSahihi wananchi wa Ethiopia wapo katika umasikini mkubwa Sana
Hata Watanzania wapo katika umasikini mkubwa sana
Ndugu zako wamejazana South wanapiga umachinga,waliobaki wanapigwa vumbi tandale hawajui kesho watakula nini,acha kuongea shit wakati mko hoi kulikoMoja ya nchi maskini sana Afrika licha ya utajiri wa madini kwa sababu ya siasa mbovu kuanzia enzi za Haille Selassie, mpaka Haile Mariam na utawala wa kijeshi na ilikumbwa na ukame mkubwa wa chakula mpaka wanamuziki wa US na UK kina Bob Geldof wakaimba kuichangia fedha za kununua chakula cha msaada
Raia wake na wa Eritrea ndio wanaongoza kuikimbia nchi yao Afrika
Ni nchi ya pili au ya tatu kwa idadi ya watu Afrika
Tanzania wahamiaji wengi haramu wanatoka huko wakikimbia nchi yao
Wote mko hoi hakuna wa kumcheka mwenzake,bora wao wana magorofa na umeme wa kutoshaMaendeleo ya VITU ni ujinga badala uwekeze katika ustawi wa watu kwanza then ndo uamie katika VITU wewe unajeng Viwanja vya ndege huku wananchi wanakufa kwa njaa
Mimi nimeshuhudia Wa Ethiopia wengi wakiikimbia nchi yao
Tanzania hapa hauwezi kufananisha na wananchi wa Ethiopia .
Ethiopia wanakimbia nchi kutokana na mambo mengi, wana migogoro ya wenyewe kwa wenyeweMaendeleo ya VITU ni ujinga badala uwekeze katika ustawi wa watu kwanza then ndo uamie katika VITU wewe unajeng Viwanja vya ndege huku wananchi wanakufa kwa njaa
Mimi nimeshuhudia Wa Ethiopia wengi wakiikimbia nchi yao
Tanzania hapa hauwezi kufananisha na wananchi wa Ethiopia .
Ethiopia wanakimbia nchi kutokana na mambo mengi, wana migogoro ya wenyewe kwa wenyewe
Pia nikuulize swali, serikali itasaidia vipi watu milioni 100+ bila hela?
Sasahivi Ethiopia wanajenga barabara nyingi, makazi bora, miundombinu ya maji, viwanda, pia Ethiopia ime attract investors wengi kuliko sisi. Hayo maghorofa yanavyoongezeka kwenye miji yao ndio ujue makampuni yanaongezeka hivyo
Hii inaongeza ajira kwa wananchi, fursa za kujiajiri nk. Halafu nchi yao imeanza kukua kwa kasi juzi juzi tu na leo tayari ina maendeleo makubwa
Ethiopia wanafanya nchi yao kuwa na uchumi wa viwanda na makampuni mengi, kitu ambacho kila nchi iliyoendelea duniani inafanya.
Huenda sasahivi Tanzania umasikini ni mdogo kuliko Ethiopia lakini Ethiopia imeamka
At least wao inaonekana wana future nzuri, sisi hatuna future nzuri. In fact nchi yetu ipo kwenye hali mbaya linapokuja suala la maendeleo especially hii miaka 5 ya mwisho
Maghorofa kitu gani umasikini wako wa akili ndo unakutuma kuamini maendeleo ni maghorofaWote mko hoi hakuna wa kumcheka mwenzake,bora wao wana magorofa na umeme wa kutosha
Nasikia wanauza na KIA kwa waoman mbogamboga wanachekacheka tu yaani lango la Taifa wanauziwa wageniSisi toka watuulie Magufuri wetu tumefulia ile mbaya
Hatuna kipya tena kinachofanyika ndani ya taifa letu ni ufisadi na uuzaji wa rasilimali za taifa na hali ngumu kwa vijana na mbaya zaidi mauaji
Hivi we jamaa unaelewa ninachokuambia? Naona umekazana kununua ndege tuWewe unajisifu kujenga Na Kununua ndege
Nyie mna nini, hata maji ya kuoga hamna, mko hoi kuliko waoHiyo nchi wananchi wake wananuka umaskini.
Embu sogelea mpakani na kenya Ethiopian ukaone vijana wa kule wakija kenya kufanya kazi za kibarua.
Majengo sio msaada kama ujaweza kusaidia wananchi wako kufikia kuona raha ya nchi yao.
Hivi we jamaa unaelewa ninachokuambia? Naona umekazana kununua ndege tu
1. Viwanda
2. Makazi ya gharama nafuu
3. Hospitali
4. Shule
5. Barabara
6. Kilimo
7. Usafirishaji
8. Umeme
9. Makampuni
Niambie kuimprove hivi vitu kumeongeza ajira kiasi gani? Hivi wewe unadhani wakazi wa Ethiopia hawanufaiki na hii miradi?
Hivi unajua kiwanda kimoja kinaweza kutoa ajira 1000+ na indirect jobs 50,000 hadi laki 1? Inapunguza dependency ya vitu kutoka nje na watu wanaweza kujiajiri kupitia bidhaa za viwanda hivyo, makampuni ya usafirishaji nk
Ipo siku karibia kila kitu kitakuwa manufactured Ethiopia na kuuzwa kwetu sisi tuliozubaa, serikali yao itakuwa na hela nyingi bila mikopo mikubwa na itaweza kuimprove maisha ya wananchi wake.
Nikuulize tu, Tanzania sisi tuna improve nini? Vitu au watu?