jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
...nilimshuhudia mahali jana akiongea kwa majivuno kana kwamba yeye ni Bashiru Ally!kafanyaje mkuu.[emoji28][emoji28]naona umekuja speed Sana.
...yaani jana ndipo nilimdharau sana huyo dogo.Ni mtu ambaye ni hulka yake, yaani kama ana kiherehere toka utotoni ni mtu wa kuchomesha wenzake.
Atakuwa na kichaa cha mbwaMalaria itakua imekupanda kichwani.
Umemchapa haswaMkuu wewe ndio unaumwa ugonjwa wa "CCM Supremacy"!
Wewe ni CCM suprecist,yaani unaamini hapa duniani CCM pekee yake ndio supreme...
[emoji3][emoji3][emoji3]Unajitomba.shisho tu kwa raha zako.
Mawazo yako nimeyaheshimaMkuu wewe ndio unaumwa ugonjwa wa "CCM Supremacy"!
Wewe ni CCM suprecist,yaani unaamini hapa duniani CCM pekee yake ndio supreme...
Vipi amekumegea mkeo? Maana unabwabwaja tu husemi hasa amefanya kitu gani. Tatizo maccm mnajiona kama nyie ndiyo mna hatimiliki ya nchi hii.Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni...
Wacha ukuda...nilimshuhudia mahali jana akiongea kwa majivuno kana kwamba yeye ni Bashiru Ally!
Na wewe kwa uzi huu umejidharaulisha kupita maelezo...yaani jana ndipo nilimdharau sana huyo dogo.
Kwahiyo Bashiru Ally ndio anayetakiwa kuongea kwa majivuno?...nilimshuhudia mahali jana akiongea kwa majivuno kana kwamba yeye ni Bashiru Ally!
Kwani Katibu Mkuu wa CCM ana nini cha ziada zaidi ya kuropoka ropoka tu?Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni.
Wewe ni Mjaruo?Kama ni Muha hilo sio la kushangaza,mcheki hata yule dogo mwingine Abdul Nondo anajiona yeye tayari kashakuwa Mwanasiasa nguli.