Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Makatibu Wakuu wa vyama vyote vya siasa wana hadhi na mamlaka sawa.Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..
Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.
Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.
Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
Wewe ni Mjita???Wewe ni Mjaruo ???
Mbona unalalamika kama umebanwa na mlango, taja hapa hayo majivuno yake anayokuringishia tujadili kwa pamoja hapa kama yuko sahihi au sio sahihi., Katibu mkuu wa ccm naye ni binaadamu tu na binaadamu haachi weaknesses hakuna mbora duniani hii mbora ni Muumba Mbingu na Ardhi na kila kilichomo ndani yake.Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..
Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.
Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.
Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
Usije shangaa kesho unaanza kumpamba kwa kila aina ya ngonjera pale ambapo atahamia rasmi ccm.Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..
Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.
Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.
Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
Amemwonya kwa kile alichomwona nacho, hajakoseaKwani Kakwambia Ukatibu wake unalingana na ule wa chama chochote... Hacha ushamba na husuda kwa wenzako...
Heshima gani aliyo nayo katibu mkuu wa Ccm? Au labda kwa sababu ya kuendesha kwenye V8Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..
Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.
Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.
Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
Mini ni MkuryaWewe ni Mjita???
Kwamba anajaribu kujifananisha na Binadamu mwenzake aitwaye Bashiru Ally?...nilimshuhudia mahali jana akiongea kwa majivuno kana kwamba yeye ni Bashiru Ally!
Huyo Ado ni mtani wako kwahiyo mpe ukweli na umtanie humohumoMini ni Mkurya
...nilimshuhudia mahali jana akiongea kwa majivuno kana kwamba yeye ni Bashiru Ally!
Kwamba anajaribu kujifananisha na Binadamu mwenzake aitwaye Bashiru Ally?
Basi ni mjinga.
Who is Bashiru Ally mpaka mtu atamani kuwa kama yeye?
hebu funguka tatizo nini??Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..
Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.
Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.
Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
Kwahiyo wakiitwa makatibu wa vyama vya Siasa Ado awezi kwenda na kukaa meza moja na Kakulwa??...nilimshuhudia mahali jana akiongea kwa majivuno kana kwamba yeye ni Bashiru Ally!
Kiongozi mkuu wa chama anatoka kigoma, Katibu -kigoma , Mwenyekiti ngome ya vijana -kigoma, wanachama 60% kigoma, daah hiki ni chama mkoa au??Kama ni Muha hilo sio la kushangaza, mcheki hata yule dogo mwingine Abdul Nondo anajiona yeye tayari kashakuwa Mwanasiasa nguli.
Kwani Bashiru ally ninani?...nilimshuhudia mahali jana akiongea kwa majivuno kana kwamba yeye ni Bashiru Ally!