Aden Rage aache dharau na TFF imfungie kwa kuita Ligi Kuu ya Mbuzi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Jana akihojiwa na vyombo vya habari Ismail Aden Rage ameiita ligi kuu ya Tanzania ni ligi ya mbuzi isiyo na lolote.

Kiongozi wa aina yake tena kiongozi mustaafu wa TFF haikuwa busara hata kidogo kuongea kauli kama ile ya ki fedhuri!

TFF watu kama hawa ndiwo wa kufungiwa hata miaka 100.
 
Tutamkumbuka Mheshimiwa Daima
 
Sio uhuru wa kutoa maoni huo?
 
yaani eti bingwa mtetezi wa nchi anabebwa bebwa na waamuzi namna ile tena dhini ya kitim kilicho ambulia nafasi ya 4 huko kwao, kwanini ligi yetu inayo simamiwa na tff ya 'msomali' karia isiwe ligi ya mbuzi??
 
Huyu si ndiyo maana alifungwa kwa kesi za FAT hana lolote huyo msomali uchwara
 
Huyu ana dharau sana si alituita simba ni mbumbumbu ana mdomo mchafu sana
 
Acha uongo hakusema ligi ya Tz ni kombe la mbuzi


Hakutamka neno TFF wala ligi ya Tz

Alitamka "haya mashindano yenu ya ligi ya mbuzi tutawaachia nyie" sasa kwa kauli iyo Je ni wapi Tff imetajwa au ni wapi NBC PL imetajwa ?

Acha izo
 
Acha uongo hakusema ligi ya Tz ni kombe la mbuzi


Hakutamka neno TFF wala ligi ya Tz

Alitamka "haya mashindano yenu ya ligi ya mbuzi tutawaachia nyie" sasa kwa kauli iyo Je ni wapi Tff imetajwa au ni wapi NBC PL imetajwa ?

Acha izo

Unahitaji akili kidogo mlamu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…