3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Mlipeni tambwe madai yakeKama klabu ina uwezo wa kumlipa mshahara Kocha kaze wa USD 15,000 kwa mwezi wanashindwaje kumlipa Djuma. ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlipeni tambwe madai yakeKama klabu ina uwezo wa kumlipa mshahara Kocha kaze wa USD 15,000 kwa mwezi wanashindwaje kumlipa Djuma. ?
Hao sawa na Tshishimbi tu magalasa hayoKwani Mukoko Tonombe na Tuisila Kisinda wametoka wapi?
Ni magalasa tu kama Tshishimbi!! Ungekuwa uko jirani na mchezaji wako babu Onyango angekunasa vibao kwa kuwakosea heshima hao wachezaji! Na hasa yule digidigi Tuisila Kisinda.Hao sawa na Tshishimbi tu magalasa hayo
Babu Onyago aliwababua bado mnamwita babuNi magalasa tu kama Tshishimbi!! Ungekuwa uko jirani na mchezaji wako babu Onyango angekunasa vibao kwa kuwakosea heshima hao wachezaji! Na hasa yule digidigi Tuisila Kisinda.
kisinda na mukoko wamekuja yanga kwa mkopo.Jaribu kufikiri ewe utopolo.
Taja bei wamekuja kwa kiasi gani hao wachezaji. Si kila mchezaji kutoka timu kubwa hawezi kwenda timu ndogo.
CarlinyoEti Djuma! Walipeni kwanza Tambwe, Saido na wengineo.