Adeyun Saleh na Paul Godfrey wawaachie nafasi Edward Manyama na Shaban Djuma

Hao sawa na Tshishimbi tu magalasa hayo
Ni magalasa tu kama Tshishimbi!! Ungekuwa uko jirani na mchezaji wako babu Onyango angekunasa vibao kwa kuwakosea heshima hao wachezaji! Na hasa yule digidigi Tuisila Kisinda.
 
Ni magalasa tu kama Tshishimbi!! Ungekuwa uko jirani na mchezaji wako babu Onyango angekunasa vibao kwa kuwakosea heshima hao wachezaji! Na hasa yule digidigi Tuisila Kisinda.
Babu Onyago aliwababua bado mnamwita babu
 
Tambwe anasema siku 45 za Fifa zimepita na bado hajalipwa huku nyinyi mnawaza kusajili wachezaji ambao kulipa mshahara wao tu ni tatizo
 
Bila kusahau mbadala wa mukoko. Hiyo namba ni kama yuko yeye tu peke yake.

Akipata majeruhi au kadi ni kiama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…