Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Mar 15, 2009 #1 hiyo ni title ya riwaya ambayo bila shaka wewe mtanzania itakufaa na kukuamsha katika mengi, hali kadhalika kukuburudisha. iko pale chuo kikuu idara ya TUKI. unaonaje ukapata kopi yako ndugu?
hiyo ni title ya riwaya ambayo bila shaka wewe mtanzania itakufaa na kukuamsha katika mengi, hali kadhalika kukuburudisha. iko pale chuo kikuu idara ya TUKI. unaonaje ukapata kopi yako ndugu?