adha ya heri

adha ya heri

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
hiyo ni title ya riwaya ambayo bila shaka wewe mtanzania itakufaa na kukuamsha katika mengi, hali kadhalika kukuburudisha. iko pale chuo kikuu idara ya TUKI. unaonaje ukapata kopi yako ndugu?
 
Back
Top Bottom