ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Rungu la Manara liko pale pale🚨 KUTOKA KWA BUGATI
Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni
👉Mpole Cup
👉Sopu Cup
👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.
Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
Akileta pua tuna maliza kaziNadhani wananchi tumtegemee Manara katika shamrashamra zetu mapema mwenzi ujao,sababu hili ni jambo letu wananchi ni sherehe yetu ya ndani hatuingiliwi na vifungu vyovyote!
Otherwise hapa Mzee Mpili na kamati yake watoke walisisitize hili.
Msituharibie shughuli.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sawa wazee wa MSOSA TREBLERungu la Manara liko pale pale
Goal la CAF limetoka Simba, Karia piga rungu huyo zungu poriSawa wazee wa MSOSA TREBLE
Sawa wazee wa MSOSA TREBLEGoal la CAF limetoka Simba, Karia piga rungu huyo zungu pori
Mbona nasikia leo game ya taifa na somali aliruhusiwaYaan hukumu yake ni KUTOKUMIUSISHA NA SOKA NDANI NA NJE YA NCHI yaan ata kuingia kiwanjan haruhusiwi sasa sembuse kushiriki send pff day yenu ...kama yy ni mtata kweli mwambieni apeleke sura yake siku ya send off yenu mtajiomea show ya kamati
Yule ni msemaji maahiri nyie hadi leo bado mnalilia bafuniSiamini kumbe Yanga mnamtegemea manyara kiasi hiki? Yani jitu lenye domo chafu kwenu ndo anawapa timu yenu kuzungumziwa? Kwahyo hapo mnalia mnaona asipokuwepo siku yenu haitafanyika?
Labda kama ni sherehe ya vigodoro,ila kama inahusu mpira atakuwa mpenzi mtazamaji,akijichanganya kushika mic adhabu inaongezwa na yanga nao wanapigwa adhabu kaliNadhani wananchi tumtegemee Manara katika shamrashamra zetu mapema mwenzi ujao,sababu hili ni jambo letu wananchi ni sherehe yetu ya ndani hatuingiliwi na vifungu vyovyote!
Otherwise hapa Mzee Mpili na kamati yake watoke walisisitize hili.
Msituharibie shughuli.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Yanga day sio kujishughulisha na mpira tutajua...
Labda siku hiyo akaombe kazi kwa wale watumbuizaji akawe mkata viuno wao.