Adhabu Haimzuii Haji Yanga Day

Adhabu Haimzuii Haji Yanga Day

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nadhani wananchi tumtegemee Manara katika shamrashamra zetu mapema mwenzi ujao,sababu hili ni jambo letu wananchi ni sherehe yetu ya ndani hatuingiliwi na vifungu vyovyote!
Otherwise hapa Mzee Mpili na kamati yake watoke walisisitize hili.
Msituharibie shughuli.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
148175013_465951804439411_4631704196708861412_n.jpg
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
Rungu la Manara liko pale pale
 
Nadhani wananchi tumtegemee Manara katika shamrashamra zetu mapema mwenzi ujao,sababu hili ni jambo letu wananchi ni sherehe yetu ya ndani hatuingiliwi na vifungu vyovyote!
Otherwise hapa Mzee Mpili na kamati yake watoke walisisitize hili.
Msituharibie shughuli.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Akileta pua tuna maliza kazi
 
Yaan hukumu yake ni KUTOKUMIUSISHA NA SOKA NDANI NA NJE YA NCHI yaan ata kuingia kiwanjan haruhusiwi sasa sembuse kushiriki send pff day yenu ...kama yy ni mtata kweli mwambieni apeleke sura yake siku ya send off yenu mtajiomea show ya kamati
 
Mbona nasikia leo game ya taifa na somali aliruhusiwa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Siamini kumbe Yanga mnamtegemea manyara kiasi hiki? Yani jitu lenye domo chafu kwenu ndo anawapa timu yenu kuzungumziwa? Kwahyo hapo mnalia mnaona asipokuwepo siku yenu haitafanyika?
 
Yule ni msemaji maahiri nyie hadi leo bado mnalilia bafuni

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani wananchi tumtegemee Manara katika shamrashamra zetu mapema mwenzi ujao,sababu hili ni jambo letu wananchi ni sherehe yetu ya ndani hatuingiliwi na vifungu vyovyote!
Otherwise hapa Mzee Mpili na kamati yake watoke walisisitize hili.
Msituharibie shughuli.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Labda kama ni sherehe ya vigodoro,ila kama inahusu mpira atakuwa mpenzi mtazamaji,akijichanganya kushika mic adhabu inaongezwa na yanga nao wanapigwa adhabu kali
 
Kama Yanga day sio kujishughulisha na mpira tutajua...

Labda siku hiyo akaombe kazi kwa wale watumbuizaji akawe mkata viuno wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom