Adhabu hii ya kunyimana penzi inaniacha hoi sana

Adhabu hii ya kunyimana penzi inaniacha hoi sana

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kuna wanawake eti ukimuudhi anaacha kukupa adhabu zoooteeee eti anabana Uvungu...Anahisi ndo Adhabu ya kukukomesha...VERY WRONG PUNISHMENT!

Mwanaume na Sex ni kama vitz na Petrol,

Nikikosa Mafuta BIG BON pale Mori haimaanishi ndo napaki gari, ni suala la kwenda OILCOM kujaza...

Tafuteni adhabu nyingine aisee,

Maana Petroli zipo nyingi ingekuwa Umeme wa Tanesco sawa kwamba nikikosa kwako natakiwa kununua SOLAR ila Wese,

We unabana BP yako pale KOBIL naitwahuku napewa tabasamu... Shkamooni wale wa Kununa huku wamefunga Miguu...FUNUA TU SHOSTI!
 
huna kazi wewe jamaa, au ndo stunt zako hz
 
nasubiri jioni akirudi nimuonyeshe huu uzi maana kwa maneno yangu tu anaona sina pa kwenda full mibanio ambayo haina tija yeye hajui kwamba ikisimama anatakiwa apande....
 
Je na yeye mwanamke unajua ana maana gani kukunyima?kaa ufikili babu jinga mali zako zinaliwa, maana yake hakupi wewe wanapewa wenzio tena wanaweza kupewa usivyopewa wewe
 
Sasa kama watu wanalalamika kupokonywa likes zao ije kuwa weye unalalamikia jambo la msingi sana kama hili ni wajibu wangu kukuunga mkono na pia kukupa pole ila zidisha majadiliano badala ya kutaka kukomoana.
 
nasubiri jioni akirudi nimuonyeshe huu uzi maana kwa maneno yangu tu anaona sina pa kwenda full mibanio ambayo haina tija yeye hajui kwamba ikisimama anatakiwa apande....
 
Back
Top Bottom