Msubirie ameenda maeneo yake weka Maji jikoni
Akirudi tu, mwache aingie chumbani alale, akishalala, endea Maji yako jikoni.
Chemsha zaidi, chemsha , chemsha, shemasha wakuu
Epua, weka kwa kikombe beba kiti cha kukalia nenda navyo chumbani alikolala, kaa kwa kiti, kunywa hayo maji mdomdooo, taratiiibu
utapoa dawa ya moto ni moto