Adhabu; kama mume/ mkeo anakusaliti Fanya hivi, utapoa

Adhabu; kama mume/ mkeo anakusaliti Fanya hivi, utapoa

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Msubirie ameenda maeneo yake weka Maji jikoni
Akirudi tu, mwache aingie chumbani alale, akishalala, endea Maji yako jikoni.
Chemsha zaidi, chemsha , chemsha, shemasha wakuu
Epua, weka kwa kikombe beba kiti cha kukalia nenda navyo chumbani alikolala, kaa kwa kiti, kunywa hayo maji mdomdooo, taratiiibu
utapoa dawa ya moto ni moto
 
Back
Top Bottom