Adhabu kwa wanaume ambao hawaogi

Adhabu kwa wanaume ambao hawaogi

Part gani jamaaani Mumy, Kwani mtoto mdogo huyo?

Vipo vya sisi kuwahimiza ila si kuoga.
Basi mi napenda kuogeshwa ka nini, umeskia eeh Hajar. Maana raha ni ile unarudi kwenye mihangaiko unakuta maandalizi ya weye kuoga yapo tayari, unavuliwa nguo unafungwa taulo au msuli au hata kanga halafu unaongozwa kwenda bafuni ambapo utaogeshwa, utapakwa sabuni, utasuguliwa mwili mzima mpaka unyayo na utasuuzwa kwa maji, hapo sijazungumzia maji ya hiliki Hajar.....si utapenda tu kila siku jioni ifike ili ukaoge?
 
Bora kabisa,kuna washkaji maji kwao ni shida.Kuna Jirani yangu apa daaa ana kaharufu fulani hiv hadi aibu
 
Bado najiuliza, wakati wa dating zao mwanaume alikuwa katika hali ipi ya usafi? Siku za mwanzo za wao kuishi pamoja alikuwaje? Maana ile ndo ilikuwa fursa pekee ya kumshape mume wake. Hata hicho kilichowaunganisha sijui wanakitendaje katika hali kama hiyo. Mi angeoga aisee
Ndio hapo shooo ukiwaza unaeza shangaa walianzaje anzaje hadi akamkubalia kumbe mwanaume haogi.

Hahaaa. Itakuwa hawakifanyi kwa kweli maana si kwa harufu itakayokuwepo hapo.

Hivyo ungeshamuogesha eee?
 
Basi mi napenda kuogeshwa ka nini, umeskia eeh Hajar. Maana raha ni ile unarudi kwenye mihangaiko unakuta maandalizi ya weye kuoga yapo tayari, unavuliwa nguo unafungwa taulo au msuli au hata kanga halafu unaongozwa kwenda bafuni ambapo utaogeshwa, utapakwa sabuni, utasuguliwa mwili mzima mpaka unyayo na utasuuzwa kwa maji, hapo sijazungumzia maji ya hiliki Hajar.....si utapenda tu kila siku jioni ifike ili ukaoge?
Ewaaaaaa. Hapo lazima kila siku utamani saa zitembee ukaogeshwe.

Ila huyo bodaboda waeza kuta ni mbishi naye ndio maana mazuri yote hayo hajafanyiwa.
 
Kwa hiyo mtu akiwa mbishi kumbe anaweza kujikosesha mambo matam matam kwa ubishi wake eeh? Sasa tena ukute mwanamke hapo ana mimba changa ya mtoto wa kiume anavyokua kisirani weye wamjia na majasho yako wataka akubebishe! Waeza stukia umepigwa na mwiko
 
Kabisaaaa Sesten .
 
Back
Top Bottom