Siwezi kwa kweliSio hasira mpendwa, wewe fikiria unaweza kumfokea mumeo kwa jambo kama hilo kwenye ofisi yake akiwa na washkaji zake?
Umeonae, mwanaume ni kiumbe mrahisi sana mbele ya mwanamke endapo mwanamke akijitambuaSiwezi kwa kweli
Inachekesha sana hii, halafu kuoga inavokua raha siwaelewi hao wavivu wa kuoga, tena huyo yupo na mwenzie si ndio pa kudekeana waogeshane sasa!?Ewaaaaa na hii angalau yaweza kuwa suluhu.
Japo haipendezi kwa mtu mzima kushindwa kujua napaswa kuoga.
πππIla inachekesha sana aiseee. Mwanaume hasa mwenye mke ana kuwa na akili za wapi mpaka anakuwa chauchafu?
Eddy Murphy aliogeshwa hivi pale eeh?Dah! Afadhali. Maana nilishaanza kujiandaa kisaikolojia kwa adhabu yako. Mimi ningefurahi na kudeka huku najidai sipendi uniogeshe. Maana wanaume tunapenda kupewa treatments za kifalme. Refer :Muvi ya... "Coming to America "...7Hahahahaaaa
Sahihi. Tena akawa anajidai hapendi wakati si kweli.Eddy Murphy aliogeshwa hivi pale eeh?
Halafu wanapeanwaπππkama ni Kenya sishangai,kuna makabila uko Kenya wanawake ni mabandindu vibaya mno,hawajuag cha kubembeleza ,ata wakitaka dushulee ,watakuambia utanipea mb..... ama lah
Basi mi napenda kuogeshwa ka nini, umeskia eeh Hajar. Maana raha ni ile unarudi kwenye mihangaiko unakuta maandalizi ya weye kuoga yapo tayari, unavuliwa nguo unafungwa taulo au msuli au hata kanga halafu unaongozwa kwenda bafuni ambapo utaogeshwa, utapakwa sabuni, utasuguliwa mwili mzima mpaka unyayo na utasuuzwa kwa maji, hapo sijazungumzia maji ya hiliki Hajar.....si utapenda tu kila siku jioni ifike ili ukaoge?Part gani jamaaani Mumy, Kwani mtoto mdogo huyo?
Vipo vya sisi kuwahimiza ila si kuoga.
Inaitwa Royal Treatment hiyo mkuuSahihi. Tena akawa anajidai hapendi wakati si kweli.
Ndio hapo shooo ukiwaza unaeza shangaa walianzaje anzaje hadi akamkubalia kumbe mwanaume haogi.Bado najiuliza, wakati wa dating zao mwanaume alikuwa katika hali ipi ya usafi? Siku za mwanzo za wao kuishi pamoja alikuwaje? Maana ile ndo ilikuwa fursa pekee ya kumshape mume wake. Hata hicho kilichowaunganisha sijui wanakitendaje katika hali kama hiyo. Mi angeoga aisee
Ewaaaaaa. Hapo lazima kila siku utamani saa zitembee ukaogeshwe.Basi mi napenda kuogeshwa ka nini, umeskia eeh Hajar. Maana raha ni ile unarudi kwenye mihangaiko unakuta maandalizi ya weye kuoga yapo tayari, unavuliwa nguo unafungwa taulo au msuli au hata kanga halafu unaongozwa kwenda bafuni ambapo utaogeshwa, utapakwa sabuni, utasuguliwa mwili mzima mpaka unyayo na utasuuzwa kwa maji, hapo sijazungumzia maji ya hiliki Hajar.....si utapenda tu kila siku jioni ifike ili ukaoge?
Kwa hiyo mtu akiwa mbishi kumbe anaweza kujikosesha mambo matam matam kwa ubishi wake eeh? Sasa tena ukute mwanamke hapo ana mimba changa ya mtoto wa kiume anavyokua kisirani weye wamjia na majasho yako wataka akubebishe! Waeza stukia umepigwa na mwikoEwaaaaaa. Hapo lazima kila siku utamani saa zitembee ukaogeshwe.
Ila huyo bodaboda waeza kuta ni mbishi naye ndio maana mazuri yote hayo hajafanyiwa.
Kabisaaaa Sesten .Kwa hiyo mtu akiwa mbishi kumbe anaweza kujikosesha mambo matam matam kwa ubishi wake eeh? Sasa tena ukute mwanamke hapo ana mimba changa ya mtoto wa kiume anavyokua kisirani weye wamjia na majasho yako wataka akubebishe! Waeza stukia umepigwa na mwiko