NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nilijua ni hadithi za kutunga Kama hadithi zingine zinavyotungwa lakini nilipata ukweli baada ya kufuatilia kiundani na kugundua kuwa ni habari za ukweli pasi na shaka kuwa
"Saidoo Ntibazonkiza alisaini Mkataba wenye kipengele lazima acheze kikosi cha kwanza"
"Na kitakachomuweka benchi ni Majeraha, adhabu za kadi ama dharura Kama kufiwa n.k
NALIA NGWENA the undercover au afsa kipennyo kama alivyonibatiza ndugu yangu Labani og kwa kupata habari za ndani kabisa nathibitisha Hili linaukweli ndani yake kwa asilimia mia kabisa kuwa hicho kipengele kipo na Mkataba wake ndiyo ulivyosainiwa.
Maoni Yangu: Hatupaswi kumlaumu Saidoo Ntibazonkiza Ila tunapaswa kuwalaumu viongozi kwa kutengeneza Mkataba wa hovyo kama huu kwa timu kubwa Kama Simba sc.
Kuna muda Saidoo Ntibazonkiza huwa mchezo unamkataa kabisa anapaswa kufanyiwa Sub mapema lakini kutokana na kipengele cha Mkataba kocha anashindwa.