Adhabu ya kadi, Majeraha na dharura ndivyo vitu vitakavyomuweka nje au benchi Saidoo Ntibazonkiza

Adhabu ya kadi, Majeraha na dharura ndivyo vitu vitakavyomuweka nje au benchi Saidoo Ntibazonkiza

Huu mkataba kama ni kweli utakuwa mkataba wa hovyo kuwahi kutokea kwenye mpira, yani mchezaji aki underperform aendelee kupangwa!
Kwamba hujui kuwa huo mkaba. Pia alikuwa nao benzema pale Madrid?? Au hujui hata iniesta pia pale catalonya
 
Back
Top Bottom