Adhabu ya kadi, Majeraha na dharura ndivyo vitu vitakavyomuweka nje au benchi Saidoo Ntibazonkiza

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nilijua ni hadithi za kutunga Kama hadithi zingine zinavyotungwa lakini nilipata ukweli baada ya kufuatilia kiundani na kugundua kuwa ni habari za ukweli pasi na shaka kuwa

"Saidoo Ntibazonkiza alisaini Mkataba wenye kipengele lazima acheze kikosi cha kwanza"

"Na kitakachomuweka benchi ni Majeraha, adhabu za kadi ama dharura Kama kufiwa n.k

NALIA NGWENA the undercover au afsa kipennyo kama alivyonibatiza ndugu yangu Labani og kwa kupata habari za ndani kabisa nathibitisha Hili linaukweli ndani yake kwa asilimia mia kabisa kuwa hicho kipengele kipo na Mkataba wake ndiyo ulivyosainiwa.

Maoni Yangu: Hatupaswi kumlaumu Saidoo Ntibazonkiza Ila tunapaswa kuwalaumu viongozi kwa kutengeneza Mkataba wa hovyo kama huu kwa timu kubwa Kama Simba sc.

Kuna muda Saidoo Ntibazonkiza huwa mchezo unamkataa kabisa anapaswa kufanyiwa Sub mapema lakini kutokana na kipengele cha Mkataba kocha anashindwa.
 
Hii imekaa kama unyanyasaji wa kimikataba, anyway uskute hata yeye unapenda kutumika ipasavyo.
 
Uongo wa vijiweni huu... lete hapa ushahidi ndo tukuamini... lasivyo utakuwa umeongea takataka tu za kwenye vijiwe vyenu vya utoh
 
Ukishabikia sana simba na yanga Automatically kichwani zinaanza kulegea.

Nawasihi sana watanzania wenzangu, Hizo timu ni mtego wa kisiasa wa propaganda za Dola.

Msipoteze sana Muda kwenye mambo za simba na yanga.

MWENYE MASIKIO YA KUSIKIA NA ASIKIE.
 
ASANTE SANA MAMA USHAURI [emoji2935]
 
Makolo ni ujinga mtupu imagine kama hawa ndo wangekuwa viongozi wa nchi hakika tungepewa chumvi Kwa kubadikishana na dhahabu.
 
breaking news from caf headquarters CAIRO MISRI🤣🤣🤣
 
Mayele amepona miguu kwa Mwamposa
 
Kwani hapo Simba, Saidoo akikaa benchi nani atacheza nafasi yake? Simba average players ni wengi.
 
UNATAKA KUSEMA HAKUNA WACHEZAJI
Hakuna wachezaji mkuu, hao akina Onana ndiyo wa kumpiga benchi huyo mzee kweli. Sikatai swala la mkataba kumtaka acheze, ila bado Angepangwa tu. Simba hakuna quality pale mbele ukiondoa Chama. Timu inamtegemea Kibu na Chama tu kwisha.
 
Hakuna wachezaji mkuu, hao akina Onana ndiyo wa kumpiga benchi huyo mzee kweli. Sikatai swala la mkataba kumtaka acheze, ila bado Angepangwa tu. Simba hakuna quality pale mbele ukiondoa Chama. Timu inamtegemea Kibu na Chama tu kwisha.
CHAMA AKICHEZA NAMBA 10 KOCHA ANAPATA MAWINGA WENGI TU MBONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…