Adhabu ya kadi, Majeraha na dharura ndivyo vitu vitakavyomuweka nje au benchi Saidoo Ntibazonkiza

umenena ukweli kabisa mwenye masikio na asikie
 
Uongo wa vijiweni huu... lete hapa ushahidi ndo tukuamini... lasivyo utakuwa umeongea takataka tu za kwenye vijiwe vyenu vya utoh
Muamini mleta habari hata profile picture yake inasadifu u undercover wake hakika ni undercover kweli kweli.
 
Kwa viongozi waliopo Simba sasa hilo la Saidoo kuwa na mkataba unaomtaka acheze mechi zote dakika zote linawezekana kabisa. Haiwezekani iwe mipira yote inafia kwa Saidoo halafu makocha wataalamu kuanzia Robertino na sasa Benchika hawaoni hilo tatizo.

Kingine cha kuchekesha ni pale unaona Miquisone yupo benchi Saidoo anaharibu mpaka dakika ya 87 kocha ndio anamtoa. Au siku Kibu mpira umemkubali unashangaa anatolewa wakati huo huo Saidoo unakuta amezingua mwanzo mwisho bado ataendelea kucheza mpaka dakika ya 90.
 
HATARI SANA
 
Hivi iliwezekanaje kuvunjwa kwa mkataba wa Sawadogo ambao ilisemekana ni millioni 700 halafu ikashindikana kuvunjwa mkataba wa huyo mkalimani ambaye ameigharimu Simba pakubwa kuanzia CAF, Federation na sasa anaenda kuimalizia safari ya matumaini kwa Simba kwa mwaka huu kwenye ligi.

Na huyo Saidoo basi awe hata na aibu kidogo basi asikubali kuwa sababu ya wanasimba kukosa furaha. Pamoja na mkataba wake kumruhusu kucheza muda wote basi awe muungwana hata kidogo aliambie benchi la ufundi tu lisimpange dakika zote.
 
Saka arsenal haruhusiwi kutolewa kabla ya 70 minutes labda kwa sababu ulizosema hapo juu
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI" - DR LUC EYMAEL 2020
 
Sasa hii ipo kwa Saidoo ntibazonkiza
Oh sawa. Hata ox chambeline nae ilikuwa hivyo ukizidisha muda unalipa. Siku moja wenger alimtoa jamaa alikuwa moto. Sana watu walitukana sana coz hawakujua hilo jambo.
 
Wewe na Simba tu! Hebu utudadavulie na issue hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…