Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
umenichekesha sana IQ kubwa umeshavumbua nn mpaka ss hivi wenzako wakina tesla pamoja na kiwa na iq kubwa hawakuwahi quote pumba kama hivi bila shaka una IQ ya 75 bado upo ndotoni tuuuuuuuuuu
Wewe tuliza domo ujifunze kutoka kwa watu kwenye uwezo wa kuona mbele. Unakariri tu sijui Tesla sijui nini andika vitu vinaeleweka si kukurupuka tu na kuanzia kutetea ujinga.
 
Wala husiende kuhiji, waarabu hawapendi watu weusi na hawana ustaarabu ingawa neno ustaarabu ni la kiarabu!

Ukiangalia hii video utaona askari wa Saudi Arabia akimsukuma mtu mweusi anayetaka kugusa sanamu ya kaaba.

Na angalia jinsi kulivyo na vurugu za watu kama mang'ombe pasipo ustaarabu wala amani.


 

Povu lote hili hakuna hata la maana humo kwanza unasema uongo eti anachinjiwa wakati picha zinaonyesha anapigwa dhoruba moja tu kwa hiyo hujui kuchinja ni nini, pia unasema wanauwa kwa mateso pia yaonyesha sayansi kwako ni ndogo, hivi unafikiria kuuwa kwa kunyonga, na kuuwa kwa risasi, na kuuwa kwa kukata kwa dhoruba moja mishipa ya fahamu, ni njia ipi anaeuliwa huteseka kwa uchungu? Na kama ungetuliza akili kidogo ungegundua kwanini hukata nyuma ya shingo isiwe mbele ya shingo? na hivyo ndivyo dini inavyo sema ama ukianzia mbele uuwaji wako utakua ni wa mateso kama kuuwa kwa risasi au kitanzi na uislam umekataza kuuwa kwa mateso pamoja anae uliwa ni muhalifu,
Halafu unchekesha unasema eti yule Muhammed anaye piga dhoruba kwa panga anaona ujasiri gani, ha !!!! hivi anatofauti gani na yule anaye vika kitanzi na kuvuta kamba kunyonga, au anatafauti gani nayule anae lenga risasi na kuuwa? au mwenzetu unakasumba?
Na hilo la watu kukusanyika kushuudia adhabu ya kifo kwako pia nijipya? Mbona humu nchini mwetu mara kadhaa tuliwahikukusanyika na kushuhudia watu wakinyongwa hadharani wewe umezaliwa lini ? waulize wakzi wa Tabora magerza uyuhi ktk miaka ya sitini Dsalaama. Na hiyo ndio asili ya adhabu hizo hutekelezwa hadharani, mpaka sehemu nyingine kuna majina kama kwanyonganyoga hata baadhi ya wazee wetu waliofanya kazi hiyo ya kunyonga walipewa majina hayo.hapo hakuna la ajabu,
Ulilo sema kidogo la akili ni kuwa kweli hata mie nakuunga mkono UFALME WA KIARABU unapitia ktk hilo kuuwa watu wasio na hatia pia na kutisha watu kwa maslahi ya kulinda dhulama zao chini ya mwamvuli wa Amerika,
Lakini vijana wa kiharakati wa Saudia hawata nyamaza na dhulma za tawala kandamizi za kifalme ambazo hata uislam unazipiga vita watakatwa shingo zao lakini iko siku Allah aleta nusra ya kotokomeza tawla za imla za kifalme chini ya kivunli cha Amerika, na kuweka Utawala wa Khalifa inshallah
Pamoja sana komredi...

Sawa Mkuu nakucheki... (Kuna subscriptiob fee ya 5,000/- per month)
 
Jibu huko juu umafia wa King wenu Ndo mlivo nyie kujidefend Hhh Eti Allah anawapigania huku mnaua wenzenu...maandko Hayo[/QUOT




huu hapa ndio upendo ndani ya ukristo aliyouleta yesu au vipi ??





kenyan gay marriage
 
hizi dini hizi watu wako brainwashed mpk wanavunj na sheria za mungu eti kupiga mwenzako upanga kama sio ukuma ni nini
 
hizi dini hizi watu wako brainwashed mpk wanavunj na sheria za mungu eti kupiga mwenzako upanga kama sio ukuma ni nini
Hilo tusi ndiyo linaonesha kuwa wewe ndiyo mfuataji mzuri wa sheria za mungu ama vp.?
 
Hilo tusi ndiyo linaonesha kuwa wewe ndiyo mfuataji mzuri wa sheria za mungu ama vp.?
Inaboa ndio maana jamaa kapanic kwenye kile kitabu kunawalakini aisee hakifundishi huruma wala kusamehana na ndio maana kapanic.
 
Inaboa ndio maana jamaa kapanic kwenye kile kitabu kunawalakini aisee hakifundishi huruma wala kusamehana na ndio maana kapanic.
Ushawahi kutenga muda wako japo kidogo ukasoma hicho kitabu mkuu? na hakika hujawahi kufanya hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…