Adhabu ya kuchefua

Adhabu ya kuchefua

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Hebu niambie ni adhabu gani ukiifikiria unaweza tapika hata ukiwa mwenyewe

Nimekaa nikawaza huu ujinga nikajikuta nashikwa na kichechefu.

Hivi ukiambiwa uteme mate yajae kikombe alafu uyanywe utaweza????
 
Kama mtu hana hela ya bia anaweza kunywa weekend hii
Nalog off
 
Nilichotaka kuandika kimeshanichefua mwenyewe ngoja nilale zangu.
 
mapumbbu kuweka kwenye jiwe halafu yapigwe nyundo
 
Back
Top Bottom