AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Jukumu la jeshi la Magereza ni urekebishaji.sasa death sentence au life sentence haiendani na hiyo kauli mbiu ya Magereza ya Magereza.
kwani hii hukumu ipo pale kama deterrent (watu wasifanye kosa kama hilo) au ipo pale kama haki kwa mtendewa au kama adhabu (na kama ni adhabu huoni kwamba sometimes kifo is an easy way out)hapa tunaangalia unyeti wa kosa lililotendwa.
yap ni sawa kuwa na hukumu ya kifo....
(kwa watu kama mafataki na wabakaji)
(ingawa kwa upande wa Dini especially Christianity hairuhusiwi
kumuhukumu mtu)
kwa upande wangu hukumu ya kifo bado inahitajika sana tz na tutafanya kosa kubwa sana tukiifuta.maana kutakuwa hakuna cha kuwaogohopesha wauaji tena. si mnajua tena dhumuni la adhabu ni kuonya mtenda kosa,kumfundisha mkosaji pia kuwaonya watu wengine wasifanye hivyo kama mtu akihukumiwa kunyongwa basi watu walo salia watogopa kuua.dhumuni hasa la adhabu ya kifo kuonya na kutisha wengine wasifanye lile kosa hivyo basi imeleta amani mitaani
mkimaliza kupinga hukumu hii ikafanikiwa, pia mpinge kufungwa maisha maana nayo iko kinyume kumnyima mtu rights and freedom....
Ikkisha pia pinga kufungwa maana ni kuondoa private liberty....