VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
- Thread starter
-
- #21
Je hii itasaidia kupunguza hasira au huzuni, (will justice be made then) na je aliyewauwa watu mia moja na kumyonga mara moja je inaumiza zaidi ya aliyetoa roho ya mtu mmoja?.., mbona naona adhabu ni sawasawa tu tena na wengine wanaweza wakasema kumuua mtu ni adhabu ndogo ambayo ni just seconds kwa sumu au umeme and all is forgotten (hakuna machungu tena).. while you will stay hurted na huenda wewe kifo chako kikawa more painfull kuliko huyo bwanaAdhabu ya kifo na iwepo. Kama kamtoa roho mtu wangu na yeye pia aondoke.
Hii issue ni ngumu sana, mara nyingine huwa nakaa nafikiria naona kama adhabu ya kifo sio nzuri, kwa sababu mhusika anaponyongwa kimsingi waliodhurika na matendo yake hawapati chochote na yeye pengine anaweza asipate nafasi ya kujifunza na kujuta kwamba nilichokifanya hakikuwa sawa, lakini mara nyingine unafikiri unaona kuna watu akili zao ni mboovu na adhabu yao ni hiyo hamna kitu kingine, mfano majambazi wanaovamia na kuua labda familia nzima watu kama hao unadhani utawafanyaje?
Hiyo ni sawa kwa wafungwa Waliofanya makosa kama ya uibajiNk..Lakini makosa kama ubakaji na unajisiWa watoto wadogo .. si dhani kama Wanastahili kitu chochote hapo juu.Wafungwa si kula kulala (hasa kwa tanzania). Huko wanafanya kazi za kila aina, kilimo, ujenzi, uhunzi nk.Na mazao wanayozalisha huwa yanauzwa na nadhani chakula pia wantumia kujilisha kwa kiasi kikubwa. Magereza hutumika kama vyuo vya mafunzo vile....wanafunzwa kazi mbali mbali kwa hiyo shaka ya kodi ondoa.Mi nadhani mkosaji anayestahili adhabu ya kifo ni heri tu apewe adhabu nyingine kali mpaka ajutie kosa lake. Hata waathirika wa kosa lake labda kwa njia hiyo watapata ahueni.
Hata hivo kunajisi na kubaka mtu hahukumiwi kifo kwa tz, ila adhabu yaweza kufanywa kali zaidi badala ya miaka 35 kwa mfano, mtu ahasiwe kabisa labda!binafsi muuaji ntapenda apate mateso ya haja hapa hapa duniani, na si kuharakishiwa kifo. (japo hukumu yenyewe haitekelezwi kwa haraka na mara nyingi kihivyo).Hiyo ni sawa kwa wafungwa Waliofanya makosa kama ya uibajiNk..Lakini makosa kama ubakaji na unajisiWa watoto wadogo .. si dhani kama Wanastahili kitu chochote hapo juu.
Sijawahi sikia hata siku mojaSerial killers wamepelekwa shambaniKulima.... wenyewe hata ndani hawatolewi..Na hao wabakaji na mafataki wenyewe Hawachanganywi nawafungwa wengine ..Sababu waijui.... na kila mtu anahasira nao..Wanaolimishwa na kupigishwa hizo shughuli.Watatumia nguvu zetu kama watakuwa wanakataa na kulala tu, tunaweza tukawafanya productive kwa kufanya all those unwanted jobs ambazo watu wengine hawataki kuzifanya.., na kama issue ni kuwafanya wasi-abuse watoto je castration sio effective method?
Well Ninachotaka kusema ni kidonda cha mwili Kinapona ...kidonda chamoyo ni kigumu sana kukiondooa Ukipata taarifa alie kuulie mzazi wako hayupo Duniani tena kuna ahueni fulani... Lakini unaposikia kafungwa miaka 35... Is not good enough ... Hata kama haita mrudisha umpendae. Lakini utaishi kwa amani kidogooo..Hata hivo kunajisi na kubaka mtu hahukumiwi kifo kwa tz, ila adhabu yaweza kufanywa kali zaidi badala ya miaka 35 kwa mfano, mtu ahasiwe kabisa labda!binafsi muuaji ntapenda apate mateso ya haja hapa hapa duniani, na si kuharakishiwa kifo. (japo hukumu yenyewe haitekelezwi kwa haraka na mara nyingi kihivyo).
kuhusu kupelekwa kwenye shamba kulima sio lazima kufanyishwa kazi nje ya cell wanaweza wakawa wanafanya kazi kama za kushona au ku-assemble vitu ambavyo inaweza ikafanywa in-house am sure issue ya kazi gani ya kufanya haitakusekanaSijawahi sikia hata siku mojaSerial killers wamepelekwa shambaniKulima.... wenyewe hata ndani hawatolewi..Na hao wabakaji na mafataki wenyewe Hawachanganywi nawafungwa wengine ..Sababu waijui.... na kila mtu anahasira nao..Wanaolimishwa na kupigishwa hizo shughuliNi wale machokora waliopora mkoba au Wauza madawa wale wa mitaani tu..Na hiyo castration kwa wanao wanajisi Watoto wadogo hiyo haitoshi.. sana sanaUmemuondolea tu testicles .. na hiyo suraNa hiyo mikono unamwachia nani...
Anyway...uwepo wa sheria ni kitu kingine na enforcement yake ni kitu kingine! Hukumu ya kifo kwa tz ipo tu kwenye vitabu nadhani! Kutekelezeka ni kugumu. Silent Actor kaeleza kiasi hapo juu! Sasa kuliko wahukumiwe kifo ilhali wanarundikwa tu huko, bora watafutiwe adhabu nyingine kali ambayo itawaumiza na kuwafanya wajutie kosa lao maisha yao yote!Well Ninachotaka kusema ni kidonda cha mwili Kinapona ...kidonda chamoyo ni kigumu sana kukiondooa Ukipata taarifa alie kuulie mzazi wako hayupo Duniani tena kuna ahueni fulani... Lakini unaposikia kafungwa miaka 35... Is not good enough ... Hata kama haita mrudisha umpendae. Lakini utaishi kwa amani kidogooo..
Kama kila mtu atachagua kunyongwa Then is all sorted .. Na hao mafataki sio kwamba watajichanganya Kwenye public. Ni huko huko gerezani hata wahalifu wenzao Hawawataki ...kuhusu kupelekwa kwenye shamba kulima sio lazima kufanyishwa kazi nje ya cell wanaweza wakawa wanafanya kazi kama za kushona au ku-assemble vitu ambavyo inaweza ikafanywa in-house am sure issue ya kazi gani ya kufanya haitakusekanaNow kuhusu castration inapunguza sexual urge na testosterone is linked to aggressive behavior (now because rape sio about sex peke yake cause muhusika anaweza akatumia vitu vingene kwa kufanya uhalifu) hawa watu watabaki ndani na hawataachiwa kujichanganya na Public..., Alafu given a choice between kunyongwa na castration am sure kila mtu atachagua kunyongwa ili kuondokana na mateso...
Nashukuru sana kwa majibu yako.... Lakini kuna wengine piga, adhibu utakavyo Hawatakaa wa regret chochote.... Serial killer mfano tu... wanaona walichofanya ni sawa..Anyway...uwepo wa sheria ni kitu kingine na enforcement yake ni kitu kingine! Hukumu ya kifo kwa tz ipo tu kwenye vitabu nadhani! Kutekelezeka ni kugumu. Silent Actor kaeleza kiasi hapo juu! Sasa kuliko wahukumiwe kifo ilhali wanarundikwa tu huko, bora watafutiwe adhabu nyingine kali ambayo itawaumiza na kuwafanya wajutie kosa lao maisha yao yote!
........ 5.kwa mujibu wa maendeleo na ustaarabu wa kisasa uliotukuka, haki ya kuishi kwa binadamu (Right to life) haiwezi kunyang'anywa na yeyote, regardless kosa lililofanyika......
Nitawafunga na kuwafanyisha kazi ngumu na kama wanaweza kuzalisha au wana mali nitawafilisi na mali zao kuwapa ndugu waliobakia
Serial killers nadhani kesi yao ni maalum sasa and they should be handled in a special way too...Hawa watu si wanakuaga na matatizo ya kisaikolojia yanayopelekea wao kuwa serial killers?Nashukuru sana kwa majibu yako.... Lakini kuna wengine piga, adhibu utakavyo Hawatakaa wa regret chochote.... Serial killer mfano tu... wanaona walichofanya ni sawa..
Nashukuru sana kwa majibu yako.... Lakini kuna wengine piga, adhibu utakavyo Hawatakaa wa regret chochote.... Serial killer mfano tu... wanaona walichofanya ni sawa..
Mhh this is debatable ukisikia kwamba alikuulia ndugu yako na kuwatesa na kukatisha maisha yao ameondolewa duniani kwa kuchomwa sindano ya sumu au electric chair ( na kupata maumivu ya sekunde ) sidhani kama itasaidia?, sababu sidhani maumivu yake na yako yapo sawa.., vilevile ukingatia hata wewe kuna siku utaondoka duniani.., kilichofanyika ni kwamba yeye ametangulia.., wakati ukisikia aliyeua yupo anafanya kazi ngumu siku baada ya siku atleast utajua kwamba jamaa anasufferWell Ninachotaka kusema ni kidonda cha mwili Kinapona ...kidonda chamoyo ni kigumu sana kukiondooa Ukipata taarifa alie kuulie mzazi wako hayupo Duniani tena kuna ahueni fulani... Lakini unaposikia kafungwa miaka 35... Is not good enough ... Hata kama haita mrudisha umpendae. Lakini utaishi kwa amani kidogooo..
Haki kwa nani?, yaani mtu akiua watu kumi kwa kuwatesa ni sawasawa na yeye kuuliwa kwa kifo cha haraka?Dawa ya muuaji na yeye kuuwawa tu! Hiyo ndio sheria ya haki