Adhabu ya Kunyongwa hadi Kufa haitekelezeki

Kwani walishanyonga wangapi? Mwinyi 0, Mkapa 0, Kikwete kadhaa wanyonge, huyu mama probably kadhaa pia sembuse umnyonge political figure ndani ya nchi?? Wanamsumbua tu ufike uchafuzi wao waapishane kupitia takwimu za kupika za mastermind mkwe wa mama mchengwera, maisha yaendelee!
 
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala.

2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Mwamba anatoka kabla ya mwezi wa saba mwaka huu
 
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala.

2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Mama yako anahaha kutafuta namna yakumchomoa Lissu pasipo fedheha(Mana kesi ni yaku panga),Wewe unakuja na kiroja
 
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
relax gentleman,
kama mwanadamu utakufa tu bila hata ya kunyongwa wakati wako muafaka utakapofika kadiri ya kudra za Allah :NoGodNo:
 
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Mkuu, mbona sikuelewi! kwani kesi imeisha na hukumu tayari? Hoja yako haipendezi na nadhani haina hata chembe ya UTU. Jitafakari.
 
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Kwani kesi yake ilishatolewa hukumu?; kwanza imeanza kusikilizwa lini?!
 
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Tehetehe.... Sasa hivi msaada anaotegemea ni kwa wale aliowaita walamba asali, na wao hawawezi kumsaidia kwa sababu ataropoka kwamba walitumwa na serikali kumsaidia kwa kuwa wana mahusiano nayo. Sasa hivi wanamthibitishia kwamba hawana mahusiano na serikali kwa kutomsaidia
 
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
kama kweli tuhuma ni za kweli basi hiyo adhabu itekelezwe bila tashishwi...maana wasipo fanya hivyo wataitumia kesi hii kama kampeni ili waonekane wana huruma na utu kumbe ni mbwa mwitu wasio na huruma.
 
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Pole Antipas
 
Back
Top Bottom