and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Kwa sheria ipi?UWT mna mambo ya ajabu sn, Lisu atatoka mapema sn
Tulia dada angu hizi mambo wewe huwezi kuelewa endelea kuangalia zako movie swafiKwa sheria ipi?
Mwamba anatoka kabla ya mwezi wa saba mwaka huu1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala.
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Mama yako anahaha kutafuta namna yakumchomoa Lissu pasipo fedheha(Mana kesi ni yaku panga),Wewe unakuja na kiroja1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala.
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Kwa Tonetone?Mwamba anatoka kabla ya mwezi wa saba mwaka huu
hata kwa mvuaKwa Tonetone?
relax gentleman,1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Mkuu, mbona sikuelewi! kwani kesi imeisha na hukumu tayari? Hoja yako haipendezi na nadhani haina hata chembe ya UTU. Jitafakari.1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Kwani kesi yake ilishatolewa hukumu?; kwanza imeanza kusikilizwa lini?!1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Hivi wewe kenge unasomaje mambo ya nutrition chuoni afu unakuja kuongelea mambo ya Sheria? Si uendelee kupangilia milo ya mumeo? Mengine tuachie wengine.Kwa sheria ipi?
Tehetehe.... Sasa hivi msaada anaotegemea ni kwa wale aliowaita walamba asali, na wao hawawezi kumsaidia kwa sababu ataropoka kwamba walitumwa na serikali kumsaidia kwa kuwa wana mahusiano nayo. Sasa hivi wanamthibitishia kwamba hawana mahusiano na serikali kwa kutomsaidia1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
kama kweli tuhuma ni za kweli basi hiyo adhabu itekelezwe bila tashishwi...maana wasipo fanya hivyo wataitumia kesi hii kama kampeni ili waonekane wana huruma na utu kumbe ni mbwa mwitu wasio na huruma.1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Pole Antipas1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea