Adhabu ya Manara imeisha, mbona anashiriki shughuli za Soka?

Hashiriki kama mwanamichezo na wala hajawahi kuwa mwanamichezo huyo ni kiherehere wa boss, anaishi kwa kutumia ujanja ujanja.

Ukiwa boss wake halafu Akaona kuna tajiri mwingine anampa hela zaidi yako anakuhama anaenda kuku snich yaani ni chawa, ni aina ya watu wanaonunulika kirahisi enzi hizo angechinjwa hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…