Adhabu ya mtu muongo ni nini?

Adhabu ya mtu muongo ni nini?

mtimawachi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
2,108
Reaction score
3,155
Wajuvi wa sheria wa humu ndani,naomba mnijuze Katiba/sheria inauzungumziaje uongo? Au nao ni TUNU ya taifa
 
Inategemea uongo huo umeleta hasara gani kwa taifa!!Maana sheria hutungwa kwa kuilinda Dola kwanza ndio raia wafate!!
Nataka jicho la kisheria,au nako imeutambua uongo katika muktadha ulousema?
 
Asante mkuu
Mfano waziri mkuu alidanganya kuhusu afya ya Magufuli
Raisi aliyopo naye akiwa tanga aliongopa.
 
Back
Top Bottom