mtimawachi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 2,108 Reaction score 3,155 May 22, 2021 #1 Wajuvi wa sheria wa humu ndani,naomba mnijuze Katiba/sheria inauzungumziaje uongo? Au nao ni TUNU ya taifa
Wajuvi wa sheria wa humu ndani,naomba mnijuze Katiba/sheria inauzungumziaje uongo? Au nao ni TUNU ya taifa
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 May 22, 2021 #2 Inategemea uongo huo umeleta hasara gani kwa taifa!!Maana sheria hutungwa kwa kuilinda Dola kwanza ndio raia wafate!!
Inategemea uongo huo umeleta hasara gani kwa taifa!!Maana sheria hutungwa kwa kuilinda Dola kwanza ndio raia wafate!!
mtimawachi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 2,108 Reaction score 3,155 May 22, 2021 Thread starter #3 THE BREED said: Inategemea uongo huo umeleta hasara gani kwa taifa!!Maana sheria hutungwa kwa kuilinda Dola kwanza ndio raia wafate!! Click to expand... Nataka jicho la kisheria,au nako imeutambua uongo katika muktadha ulousema?
THE BREED said: Inategemea uongo huo umeleta hasara gani kwa taifa!!Maana sheria hutungwa kwa kuilinda Dola kwanza ndio raia wafate!! Click to expand... Nataka jicho la kisheria,au nako imeutambua uongo katika muktadha ulousema?
mtimawachi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 2,108 Reaction score 3,155 May 22, 2021 Thread starter #4 Asante mkuu Mfano waziri mkuu alidanganya kuhusu afya ya Magufuli Raisi aliyopo naye akiwa tanga aliongopa.
Asante mkuu Mfano waziri mkuu alidanganya kuhusu afya ya Magufuli Raisi aliyopo naye akiwa tanga aliongopa.
M Malcom Sr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2021 Posts 1,163 Reaction score 1,647 May 22, 2021 #5 Umemkomalia mkalimani bwashee. Yaan mkalimani miaka 7 halaf liongo lijizi la umma mwaka 1 .. it's biased laws
Umemkomalia mkalimani bwashee. Yaan mkalimani miaka 7 halaf liongo lijizi la umma mwaka 1 .. it's biased laws
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 May 22, 2021 #6 mtimawachi said: Asante mkuu Mfano waziri mkuu alidanganya kuhusu afya ya Magufuli Raisi aliyopo naye akiwa tanga aliongopa. Click to expand... Huna adabu!!!! Mbuzia wa magengeni
mtimawachi said: Asante mkuu Mfano waziri mkuu alidanganya kuhusu afya ya Magufuli Raisi aliyopo naye akiwa tanga aliongopa. Click to expand... Huna adabu!!!! Mbuzia wa magengeni