enfuka nkulu
Member
- Dec 4, 2012
- 48
- 4
Mwaka 1998 sheria mpya kuhusu makosa ya kujamiiana ilitungwa, SOSPA, adhabu kali ya kifungo cha miaka 30 ikawekwa. na yule anayebaka mtoto chini ya miaka 10 ni kifungo cha maisha. swali je ubakaji umepungua tangu wakati huo?