Adhabu ya viboko shuleni

Joined
Aug 7, 2013
Posts
71
Reaction score
15
Katika hali isiyo kawaida mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Idodi amepewa adhabu ya viboko takribani fimbo 100 kwa muda wa saa tatu hadi kupoteza fahamu na baadaye kufungiwa bwenini kwa muda wa siku tatu. Kwa hivi sasa anauguza majeraha ya fimbo hizo katika Hospitali ya Iringa. kosa ni amesingiziwa ameiba simu ya mwanafunzi mwenzake.

Walimu kuweni makini katika adhabu mnazowapa wanafunzi.





Chanzo:Taarifa ya habari Star Tv
 
anabahati sana huyo.huku kwetu wezi tunawachoma moto maana ndiyo majambazi wa baadae.
 
anabahati sana huyo.huku kwetu wezi tunawachoma moto maana ndiyo majambazi wa baadae.

Nyie hamna dhambi hadi muhukumu wenzenu kwa kuwaua? Na je huyo mwalimu saikolojia yake ya ualimu inamruhusu kupiga kiasi hicho???
 
Dah anabahati sana. Sitosahau wezi waliingia rum yetu chuoni na kukomba kila kitu. Mwizi ni kuua tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…