potential girl
Member
- Aug 7, 2013
- 71
- 15
Katika hali isiyo kawaida mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Idodi amepewa adhabu ya viboko takribani fimbo 100 kwa muda wa saa tatu hadi kupoteza fahamu na baadaye kufungiwa bwenini kwa muda wa siku tatu. Kwa hivi sasa anauguza majeraha ya fimbo hizo katika Hospitali ya Iringa. kosa ni amesingiziwa ameiba simu ya mwanafunzi mwenzake.
Walimu kuweni makini katika adhabu mnazowapa wanafunzi.
Chanzo:Taarifa ya habari Star Tv
Walimu kuweni makini katika adhabu mnazowapa wanafunzi.
Chanzo:Taarifa ya habari Star Tv