Prince edu
Member
- Dec 16, 2011
- 78
- 0
Mwalimu ni mtu ambaye ni wa muhimu sana kwa maisha ya mwanafunzi yeyote yule na kupitia mwalimu tunapata madaktari,wanasheria,wabunge na wahasibu,ila kwa baadhi ya wanafunzi wanawadharau sana watu hawa kwa kuwatukana,kuwapiga na hata kuwabaka.Je,unafikiria ni adhabu itolewe ili kukomesha haya yote? Mchango wako ni wa muhimu!